Elections 2010 Albamu Ya Kikwete Barabarani?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Wakuu Sana,
Hivi kubandika haya mabango barabarani koote JK akiwa na mama yake,mababu,sijui na nani tena ni kampeni kweli au show off?....nimekereka
 
Wakuu Sana,
Hivi kubandika haya mabango barabarani koote JK akiwa na mama yake,mababu,sijui na nani tena ni kampeni kweli au show off?....nimekereka

Hawa watu wanafanya mambo ya ajabu kweli. Kila mtu ana mama na walitulea katika maadili ya adabu na heshima, tatizo ni kuwa mama yake Kikwete alishindwa kumlea mwanae katika maadili mema ndiyo maana JK mwizi nayeiba mali ya serikali ni shujaa.

Mama yake hovyoooo!!!!!!!!!!!!!! Sasa naye yupo kwenye mabango barabarani kama shujaa asiyekuwa.
 
Lile lingine yuko na vibabu na vibarakhashia na vilemba...ati mtu wa watu...kazi kweli...wale sio waganga wa kienyeji kweli?....:confused2:
 
Mabango yote waliyoweka, ukiyaangalia kwa makini, utagundua CCM wanatafuta huruma kwa wapiga kura. Wanajua somehow JK anaweza kuonewa huruma na makundi fulani ya watu TZ, mathalani wanawake. Wanatumia hilo tu. Ukweli ni kuwa bila hivyo wanajua hawana jipya la kuwaeleza watu.

Mabango yoooote yame kaa ki kuomba huruma huruma tu! lol!
 
Hapo hapo wanasema hawana pesa show off hiyo ina gharama zake si bure..
 
Upuuzi, ni kama wanataka kutuambia kupiga picha umeshikilia bunduki basi wajua kuitumia....picha hizi zinasaidia nini mtanzania wa kawaida???
 
Hili neno litakuwa linatokana na kinyago. Kama kilivyo kinyago Ofisini au nyumbani, huwa kinawekwa ili watu waangalie.

Kipo pale kwa kuonyeshwa au SHOW OFF na hii kwa sasa wanasema "kuuza sura" kama walivyo wacheza film au matangazo ya biashara au sasa wanageuza na kuita Kuuza Nyago.
Jamni kuuza nyago ndio nini?
 
Lile lingine yuko na vibabu na vibarakhashia na vilemba...ati mtu wa watu...kazi kweli...wale sio waganga wa kienyeji kweli?....:confused2:


Hawa jamaa wamefilisika kimawazo, sitegemea jipya kutoka kwao, they are too fibly minded! Uwezo wao umeshagota, hawawezi kutunasua kutoka hali mbaya tuliyopo zaidi ya kuendelea kutudidimiza tu! Hebu tuwape kia Slaa, ni mara mia 2 zaidi bora!
Kwa jinsi ilivyo tungeweza hata kuwaita wabinafisishaji kutoka nje, waje tubinafisishe serikali, itakuwa mara kumi zaidi kuliko ccm!
 
huyu jamaa aliebuni matangazo yale ni fwala kweli...!

nilitegemea matangazo yaambatane na miradi ya maana alioifanya wakati wa miaka mitano..! badala yake kila bango anakumbatia watu ..mara albino ..mara walemavu ...mara wazeee.....!

kwani sisi tunachagua mrithi wa MAMA TERESA au..? :mad2::mad2:

na wengine anawakumbatia ili asianguke...!
 
hivi kikwete kweli bado anahitaji mamabango??? yani hadi leo hii rais kikwete kweli hauziki mpaka atumie mabango??? au ndio ulaji tu wa watu??

chema chajiuza, kibaya chajitembeza
 
Lile lingine yuko na vibabu na vibarakhashia na vilemba...ati mtu wa watu...kazi kweli...wale sio waganga wa kienyeji kweli?....:confused2:

bado kukumbatia mbuzi na nguruwe kuonyesha anawapenda wafugaji...! :becky::becky::becky::becky::becky:

kaaaaaazi kweli kweli..! kilimo kwanza mfuko laki..????
 
Maswalimagumu aliuliza"Bilioni 50 kuutafuta urais kwa faida ya nani?".

Si domokaya yule katibu, wala kale kababu-kibogoyo,kenye meno ya kubandika waliojibu maswali yake.
 
Back
Top Bottom