Alasiri lamshinda mengi

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Je ni kweli kuwa mkurugenzi wa lpp media ameshindwa kuliendesha gazeti lake la kila siku jioni ambalo lilikuwa likipendwa sana na wasafiri wa daladala ambao walikuwa wakilitumia gazeti hilo kama dawa ya kujisahaulisha makali ya msururu wa magari muda wa kurudi nyumbani?
 
kichwa cha sredi kimekonclude, wakati habari yenyewe inauliza swali. Ok polepole tutafika.
 
jifunze kwanza wengine wanaandika vipi thread zao ndo na wewe utundike na siyo kukurupuka
 
Hili gazeti likimshinda au kutomshinda bwana Mengi, ina impact gani kwa maendeleo ya taifa letu??
 
Limemshinda unaweza kulinunua? Biashara zake nyingine pia umezifanyia analysis kujua kama anaendelea nazo au la?
 
Ok kichwa cha habari kimekosewa ndiyo mpeni jibu basi? jibu ni ndio maana halionekani na hakuna taarifa yeyote ile
 
Pale lilipofikia ilitakiwa mtu au kampuni ingine lilinunue na kuendelea kuchapisha, shida kwa Tanzania "mergers and acquisition" hasa kwa biashara za kifamilia hakuna kabisa, mtu yuko radhi biashara imfie kuliko kumwachia mwingine kama imemshinda. Serikali inatakiwa kulifanyia kazi hili ili kulinda ajira, biashara ikishindwa kulipa mishahara au kodi za serikali itangazwe muflisi na utaratibu wa kuifufua kwa kubadilisha wamiliki ufanyike mara moja
 
Back
Top Bottom