TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Nimekuwa najiuliza mara kadhaa,kwa nini chadema wakiitisha harambee wanaitikiwa na kila kundi ktk jamii?je kwa nini vyama vingine hususan ccm na cuf wasiige mbinu hii ili kuchochea maendeleo? Sipati picha kama Slaa angekuwa Rais wa Tanzania tungechanga shilling ngapi? Kwa sherehe za uhuru wa kweli! Big up CHADEMA.