Alama za barabarani. Zinahitajika kidawhe kigoma

Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
69
Wana jf. Niko kigoma nampongeza zito. Na kafulila kwa jitihada zake zkuhakikisha majimbo yao yanajengewa barabara za kiwango cha lami.hili limetekelezwa.lakini kuna hatari maions hapa kwenye njia pands ya kutoka kidawhe kwemda kazura mimba.ukitoka kaxuramimba unapoikuts ile barabars ya kwenda kasulu hapo kidawhe hspsms ala.a ya tadhali..mgeni yoyote wa njia hii hapo lazima apate ajali tu.alama zinahitajika haraka sana hap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom