Alama ya" X" nyekundu kwenye kuta!

pilu

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
488
43
Habari wana jf!
Nimekua nikipita maeneo mbali mbali karibu kila mkoa nimekua nikiona kuta za nyumba au majengo mbalimbali vimewekewa alama ya X nyekundu, yawezekana kuna waliokumbwa humu jf.
Ningependa kujua ni kitengo gani kinahusika na hilo lakini pia wandugu naomba kuuliza hivi kazi hiyo yakuweka alama izo hufanyika mida gani jamani mbona sijawahi kuwaona?
AHSANTENI!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom