Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alama ya Taifa ni kitu gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hume, Oct 4, 2007.

 1. H

  Hume JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 18
  Hivi majuzi waziri wa miundo mbinu alizindua ndege mpya ya Air Tanzania.

  Kilichonishangaza ni kuona ina muonekano(rangi) tofauti kabisa na ndege zetu tulizozoea kuona. Haina bendera ya Tanzania inayoonekana kwenye ndege hiyo zaidi ya twiga mdogo anayeonekana kwenye mabawa.

  Swali lililonijia kichwani ni hili, je alama ya Taifa kwa sasa ni Twiga? Nikiona alama ya twiga popote itanifahamisha kuwa jambo hilo lina uhusiano na Tanzania?
   
 2. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,559
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  wewe tuambie unataka alama gani ya taifa,weka facts hapa..kuna kitu najua unataka kusema,
   
 3. M

  Mserengeti Senior Member

  #3
  Oct 4, 2007
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuewekee na picha inayoonesha rangi na alama ya sasa,we cant relie on you
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Oct 4, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 32,771
  Likes Received: 1,395
  Trophy Points: 113
  Kwa mujibu wa Mzee Warioba alivyozungumza na waandishi..

  Nadhani inabidi waweke picha Rais Kikwete pembeni ya yule Twiga!
   
 5. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,896
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kama Tukiweka Picha Yake Na Yeye Anaendelea Kuboronga Haileti Maana Yoyote Ile , Taifa Sio Mali Ya Mtu Binafsi Taifa Ni La Watanzania Wote Lazima Tuwe Na Kitu Chetu Cha Kutuwakilisha Kama Yale Mawe Ya Mwanza , Mlima Kilimanjaro Na Alama Zingine Ambazo Haziko Sehemu Nyingine Yoyote Zaidi Ya Tanzania

  Ahsante
   
 6. M

  Mgumu JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2007
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 238
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha hii hapa......
  [​IMG]
   
 7. M

  Mgumu JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2007
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 238
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ndege ya atc inaonekana hivi....
   

  Attached Files:

  • atc.jpg
   atc.jpg
   File size:
   69 KB
   Views:
   13
 8. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 954
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini kwenye huo mkia kwa juu kuna mlima Kilimanjaro unaonekana ila kwambali sana
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 5,887
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  hatutaki kuwakilishwa na picha ya fisadi hapo tafadhari..mjiheshimu!
   
 10. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 954
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si unaona taifa stars walipo funga walikuwa wanaitwa JK boyz lakini juzi walipo fungwa wakaitwa taifa stars.

  TUNA ALAMA NYINGI SANA ZA TAIFA ACCORDING TO NATIONAL WEBSITE.
  1. Bendera yetu
  2.Wimbo wa Taifa
  3.wenge wa Uhuru
  4.Ngao ya Taifa (simaanishi dawa ya mmbu)
  ILA TWIGA SIJAONA KAMA NAYE NI ALAMA YA TAIFA< LABDA NI MNYAMA WA TAIFA


  Kama hamjui alama za taifa letu tembelea hapa
  http:http://www.tanzania.go.tz/educationf.html
   

Share This Page