chakochetu
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 108
- 35
Nasikia alama ya TWIGA ilikuwa ndio alama ya Tanzania,ndio maana hata shirika la ndege liliweka kwenye ndege zake,hata Noti za Tanzania ziliweka watermark ya Twiga.
Kenya wao alama ya simba ndio alama yao ya Taifa,Uganda wao ni yule ndege aitwaye 'the crane'
Alama hizi zilikuwa zina maana;Twiga,mnyama mstaarabu,muungwana-hii ilikuwa ndio taswira ya Taifa
Sasa naona kila kitu kimebadilishwa,ATCL alama ya Twiga wameondoa,Noti zilizochapishwa nyingi hazina alama ya Twiga tena.
Kwa sasa sijui alama inayoitambulisha Taifa la Tanzania nini ipi?au kila kitu alama inawekwa ya Mlima kilimanjaro,kwani Tafsiri ya Alama hii na zingine ni nini?!!!!