Elections 2010 Alama ya Nyundo imepitwa na wakati kwenye nembo ya CCM

The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
20
Wapendwa wanaJF, wote tunajua kwamba kura za internet ambayo watumiaji wake wengi ni wafanyakazi, wanafunzi na wasomi wameikataa CCM na JK wake kwa Kishindo (Rejea Poll of Polls hapa JF). Hii ina maana ile alama ya Nyundo kuwakilisha wafanyakazi kwenye nembo ya CCM imepitwa na wakati. Nawashauri waweke alama pesa badala ya nyundo kumaanisha ni Chama cha wafanyabiashara na mafisadi...pesa kama msingi wa maendeleo!
 
Kabisaaa. Waweke alama hata ya Cheque italeta maana zaidi.
 
Back
Top Bottom