Alama(Landmark) walizoacha mawaziri wakuu wastaafu: Pinda tutamkumbuka kwa lipi?

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
  1. J K Nyerere, Alama kubwa ambayo tunaweza kumkumbuka ni uhuru wa Tanganyika, yeye ndiye aliyepigania uhuru na kuwezesha kuwa na Tanganyika huru
  2. R M Kawawa, mabadiriko kama Azimio la Arusha, Madaraka vijijini, Mikoani na mabadiriko mbalimbali ya miundo ya kiserikali
  3. Cleopa Msuya, Transitional, labda maendeleo ya Mwanga, sijui mengine aliyo yafanya kwa taifa except umeme mwanga, na ?
  4. Edward M Sokoine, tunakumbuka mambo ya uhujumu uchumi na usimamizi wa utendaji wa haki serikalini, n.k
  5. Salim A Salim, Soko huria na mabadiriko ya maisha kwa ujumla baada ya msoto wa kuanzia 1979, alisimamia vizuri saana.
  6. J S Warioba, hakuacha land mark yeyote
  7. J S Malecela, Utaratibu wa mabasi kusafiri mchana badara ya usiku, Umuhimu wa utanganyika i.e. Tanganyika kuzaliwa upya n.k.
  8. F Sumaye Long serving ila landmark nina wasiwasi, labda tuseme alisimamia vizuri sera za uchumi za bosi wake!
  9. E Lowassa, Shule za kata
  10. MK Pinda, sijaona labda mnikumbushe wana JF wenzangu

Nawasilisha.
 
Mkuu usitegemee atapigwa chini unakumbuka Mkapa na Sumaye,atabadilisha mawaziri lakini Waziri Mkuu atabaki yule yule wanajua athari za kumbadilisha sasa hivi vinginevyo atakae wekwa sasa ni mjanja wa kutengeneza mazingira ya ushindi wa CCM 2015 na si vinginevyo.Ukiona chombo kipya ujue ni mchezaji mzuri kutayarisha mazingira ya ushindi wa CCM kwenye uchaguzi huo wa kimbembe hiyo kipenge 2015 ndani ya stadium ya Watanzania timu ni CCM VS CDM.Ukiona kitu kipya jua kocha mpya kunoa timu ya ushindi kwa kuwa inajulikana kazi hiyo kwa Rais ni ngumu ukilinganisha na nafasi ya Waziri Mkuu.
 
Mpole na mnyenyekevu na mpenda ukomunists! ndio maana Kenya imetuacha mbali sana ki uchumi!
 
..namkubali Joseph Warioba kwa kushughulikia crisis ya mwaka 1985 ambapo alipokea nchi ikiwa na ukata wa kutisha. hazina ilikuwa haina hata fedha za kulipia meli za mafuta zilizokuwa zimetia nanga bandarini.

..Ally Hassan Mwinyi[Raisi], Joseph Warioba[waziri mkuu], Cleopa Msuya[waziri wa fedha,uchumi,na mipango] ndiyo walio-deal na crisis hiyo na kuivusha nchi kuelekea mabadiliko makubwa ya uchumi.

..Now, was every thing rosy after that?? Definetely NO. Lakini sidhani kama nchi hii imewahi kukabiliwa na crisis ya kiuchumi kama ile ya mwaka 1984/85. Sasa mtu anapokuja hapa na kusema Joseph Warioba hakuacha alama yoyote ile inabidi nimshangae kidogo kama anaifahamu vizuri historia ya nchi yetu -- kule tulipotoka na tunapoelekea.

NB:

..Nyerere, Dr.Salim Salim[waziri mkuu],Prof.Kighoma Malima[fedha,uchumi,na mipango] wanastahili kutoa maelezo ya kwanini walikabidhi serikali kwa Ally Hassan Mwinyi ikiwa na ukata kiasi kile.
 
Kama ataondolewa nitamkumbuka kwa umahiri wake wa kuangua kilio bungeni maji yakimfika shingoni..
 
Landa hujaelewa, yaani nataka landmark siyo utendaji wa kawaida!
 
Jimmy Carter alipochaguliwa kuwa rais wa Marekani walimwandika hivi: "His lack of identity gives him that particular identity. And his total lack of charm is in itself charming" Tafsiri hiyo na iweke kwa Pinda.
 
Atakumbukwa kwa kuwa PM aliyekuwa anadhalilishwa na kudhalauliwa na boss wake mchana kweupeee..
 
  1. J K Nyerere, Alama kubwa ambayo tunaweza kumkumbuka ni uhuru wa Tanganyika, yeye ndiye aliyepigania uhuru na kuwezesha kuwa na Tanganyika huru
  2. R M Kawawa, mabadiriko kama Azimio la Arusha, Madaraka vijijini, Mikoani na mabadiriko mbalimbali ya miundo ya kiserikali
  3. Cleopa Msuya, Transitional, labda maendeleo ya Mwanga, sijui mengine aliyo yafanya kwa taifa except umeme mwanga, na ?
  4. Edward M Sokoine, tunakumbuka mambo ya uhujumu uchumi na usimamizi wa utendaji wa haki serikalini, n.k
  5. Salim A Salim, Soko huria na mabadiriko ya maisha kwa ujumla baada ya msoto wa kuanzia 1979, alisimamia vizuri saana.
  6. J S Warioba, hakuacha land mark yeyote
  7. J S Malecela, Utaratibu wa mabasi kusafiri mchana badara ya usiku, Umuhimu wa utanganyika i.e. Tanganyika kuzaliwa upya n.k.
  8. F Sumaye Long serving ila landmark nina wasiwasi, labda tuseme alisimamia vizuri sera za uchumi za bosi wake!
  9. E Lowassa, Shule za kata
  10. MK Pinda, sijaona labda mnikumbushe wana JF wenzangu

Nawasilisha.

Pinda atakumbukwa kwa kutotoa maamuzi maswala ya msingi kama mauaji ya albinomgomo wa madaktari na sakata la jairo
 
Kudeal na kilimo km waziri mhusika,kukataa gari la kifahari,kuwa sura na mbaya ukilinganisha na waliomtangulia,kuwa ndezi zaidi ya lusinde.
 
Kwa kilimo kwanza hawezi kuacha landmark manaake naona wana prove failure! Machozi sijui kama watu wakumbuka
 
Issue ya Albino fulani na Kilio cha mara kwa mara pale alipokuwa anatafuta public sympathy!
 
Ni waziri mkuu mwenye roho ngumu kama ya paka. Anathalilishwa na bosi wake, ila yeye yumo tu. Anafukuzwa na wabunge lakini wapi!!
 
Back
Top Bottom