Alabuliwa Risasi Ya Makalio Akizini Ndani Ya Gari

Watu wako jeshini miaka nenda rudi wana hamu ya kufytua risasi wakipta upenyo kama huo wanautuma, maybe tupate vita kidogo ili na wao wawe wamefanya kazi yao

Wakizungumza wakiwa kwenye kituo cha Polisi cha Mbagala kufuatilia hatma ya ndugu yao, ndugu hao ambao hawakutaka majina yao yatajwe gazetini walisema "Tunachoshangaa ni kwa nini polisi wapige risasi wakati wakijua hawakuwa majambazi ila walikuwa wakifanya mapenzi," alisema ndugu mmoja.

Alisema kimsingi tukio hilo lilikwenda katika makubaliano yao na sio ubakaji kama wanavyodai.

Source :- Nipashe Jumapili

...Hawa ndugu nao wamepinda kama kaBinti kao..

Watu wako jeshini miaka nenda rudi wana hamu ya kufytua risasi wakipta upenyo kama huo wanautuma, maybe tupate vita kidogo ili na wao wawe wamefanya kazi yao
Kama wana hamu ya kufyatua risasi si waombe nafasi za kwenda uko Libya au Somali wakapambane na Vijana a.k.a Al-Shabab.

Hivi ni wakati gani polisi wanatakiwa wamfyatulie mtu risasi? Mimi siungi mkono uzinzi uliokuwa ukifanyika ndani ya gari lakini kile kitendo cha polisi kufyatua risasi ni unyama na hii ni kutokana na jinsi polisi wa TZ walivyojuu ya sheria. Saidi Mwema ndiye anayelea hizi tabia kwani ni nadra sana kwa polisi kushtakiwa anapomwua rais kwa risasi hata kama ushahidi unatosheleza. Zitaundwa tume feki na kutumia fedha ila mwisho wa siku polisi wanapeta kama ilivyo akina Zombe na wale polis walioua akina Mtui hapa Arusha.

"Tumlaumu Nyerere" inaonekana kuna harufu ya udini hapa.
Yaani watu wakimtaja Nyerere tu, ishakuwa issue ya Udini... Kwani alikuwa mtume au kwa kuwa aliitwa Mussa!?

Acha hizo bana... Inaonekana wewe ndio mdini.

huyo askari ana kusudi yn KAMTANDIKA RISASI YA MAKALIO tehe tehe teheee hy bint hatarudia tn

Itafika siku hadi mtoto wako wa kumzaa akijinyea utailaumu CCM, kuwa inawapeleka wapi, watanzania muache ushabiki usio na msingi, swala hilo linaingiliana vp na chama, mtoto ushindwe kumlea wewe, unalaum mwingne, sheria zimewekwa, sehem za starehe watoto hawaruhusiwi, pombe isiuzwe kwa mtu chini ya miaka 18, so unataka makada wa CCM wakae kila bar ku-enforce hizo sheria??

for ur info, law enforcers ni police, may b thats the reason walienda sehem hiyo, but walichobugi ni kufyatua risasi kwa mtu asiyetishia usalama wa polisi hao, and thats the main point of discussion....hata ikitawala chama cha mapadre-CHADEMA, IT WILL ALL BE THE SAME.....

Richard aliposhinda big brother mbona magamba mlijisifu hiyo ni kutokana na malezi na sera zenu nzuri?

huyo mwanamke alikuwa bar...wazazi wake wako wapi? huu ni mfumo duni wa ccm ..mtoto han la kufanya anajiuza..who to blame? CCM and no one else....offcourse kutembea na underage ni kosa kisheria, mteja kaenda bar kakuta malaya kamnunua..au siku hivi wanawake (machangudoa) wanaandikwa miaka yao vifuani?..ccm mnatupeleka wapi? i cant wait hili li CCM kufa

Ndio maana Serikali ya CCM imeamuwa kutengezesha vitambulisho vya uraia ambapo bar wataweza kuthibitisha umri wa anaeingia hapo bar kama wanavyofanya nchi zingine. Kwa sasa tumlaumu Nyerere aliyekuwa hataki tuwe na vitambulisho vya uraia.

Tuache mambo ya ushabiki na kuweka kila kwenye mambo ya kisiasa hivi ni kweli hao wazinzi waliambiwa wafanye hivyo na ccm? au hao polisi walipewa amri ya kufyatua risasi na ccm? Malaya ni malaya tu hata wakiwa ulaya na hawawezi kuacha hata kama wakipewa kazi ikulu wataendeleza umalaya hata na walinzi au wafagiaji ni tabia chafu na malezo mabaya ya wazazi wao.

CCM inahusika kwa 100% kwa sababu haiingii akilini mtoto wa miaka 16 anakuwa hayupo kwene uangalizi wa wazazi au walezi usiku wa manane..Serikali inatakiwa kushape mustakabali wa jamii kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa..badala kufanya yanayowahusu raia wao wako bize kuuza nchi.

Malaya ni Malaya tu awe CUF, CDM, CCM,TLP, wote wanaitwa Malaya

Itafika siku hadi mtoto wako wa kumzaa akijinyea utailaumu CCM, kuwa inawapeleka wapi, watanzania muache ushabiki usio na msingi, swala hilo linaingiliana vp na chama, mtoto ushindwe kumlea wewe, unalaum mwingne, sheria zimewekwa, sehem za starehe watoto hawaruhusiwi, pombe isiuzwe kwa mtu chini ya miaka 18, so unataka makada wa CCM wakae kila bar ku-enforce hizo sheria??
for ur info, law enforcers ni police, may b thats the reason walienda sehem hiyo, but walichobugi ni kufyatua risasi kwa mtu asiyetishia usalama wa polisi hao, and thats the main point of discussion....hata ikitawala chama cha mapadre-CHADEMA, IT WILL ALL BE THE SAME.....

Ahahahaaaah!! Hii kaka imetulia naona watu wameanza kuingiza siasa kwenye hii ishu...

ccm na ahadi zenu feki unauliza kwanini wanajiuza kamuulize ******

Richard aliposhinda shindano la Big Brother Africa, alipokelewa na Chiligati ambaye alikuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha magamba.

Chiligati alijigamba kuwa ushindi wa Richard ni matokeo ya malezi ya chama cha magamba. Kwahiyo hakuna namna tabia za watanzania zinaweza kutenganishwa na siasa za magamba.

Kutokana na siasa za hovyo za magamba ndio sababu ya hako kabinti kwenda bar usiku wa manane kubangaiza ili apate japo hiyo 20,000 ili asogeze siku.

Weee rejao unasemajeee hebu nenda pale sewa bar buguruni
kama hujamkuta mtoto wa miaka 9
wazazi wa uswazi nao
huko masaki na upanga na kwingine
mtoto wa miaka 9-18 analelewa kama yai
wa uswazi anambiwa we jibwa unataka
hela yashule nipate wapi katafute nje huko
hapo kamaliza std 7
anaanza uzururaji
kimboka then ndo mambo hayoo ya
kutwangwa risasi za masaburi

"jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari."

miaka 16??????

Kufanya malovedove na mtoto under 18 ,ubakaji though pia nadhani polisi hawakuwa na nia ya kumlabua huyo bint risasi it seems that walitaka watoboe tyre then wawadai kitu kidogo !!!!!!!!!! mi mwenyewe nshawahi kukoswa risasi bar walitukuta nyt kali af wakadai kitu, kidogo wakabeba viti tulivyokomaa nao wakawakaanza fyatua risasi!!! Wanadai ati timevnja sheria weee tulivyozidisha jeuri wakasema et tulitaka kuwapora silaha!!! Waroho sana ndo mana wkt mngne wanavka mipaka

Flora kumbe na wewe huwa unafanya malove kwenye gari vichochoroni?? Huoni kama ni hatari? Au gesti zilikuwa zimejaa siku hiyo?

Matukio ya polisi kucharaza raia wasio na hatia risasi nadhani ni maagizo kutoka juu kwa ajili ya kafara. Maana hatujasikia polisi aliye fyatua risasi kuwa kakamatwa, licha ya kuwa kila kukicha raia wanapigwa risasi na polisi

Kutia mtoto wa miaka 16 asiye mkeo ni jinai ya kubaka, awe kakubali, hajakubali, kakuuzia, kakununua, ulijua umri wake, hukujua, ni kubaka, statutory rape.

Matukio ya polisi kucharaza raia wasio na hatia risasi nadhani ni maagizo kutoka juu kwa ajili ya kafara. Maana hatujasikia polisi aliye fyatua risasi kuwa kakamatwa, licha ya kuwa kila kukicha raia wanapigwa risasi na polisi

Huyo msichana hata angekuwa ni mwanamke mwenye miaka zaidi ya 18, Na mwanaume kadhalika, bado suwala la uzinifu ni kosa kwa sheria za Tanzania. Na haswa kama linafanywa nje kwenye magari.

It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.
Hao ndo Polisi wa Kibongo. Hata mimi tukio kama hilo nusura linikute siku ya Idd nilipokuwa Dodoma. Baada ya kumaliza starehe zangu pale Maisha Club, niliondoka na Infi mmoja kuelekea nyumba 300 kwa mshkaji wangu. Niliwapita polisi pale CBE na wala hawakunisimamisha. Cha kushangaza baada ya kupita njia panda ya area D, niliona gari la polisi likinifuata kwa kasi na kuniwashia taa za amri ya kusimama. Niliposimama, wala hawakuwa na ishu ya maana zaidi ya usumbufu. I hate them.

Ktk SOSPA hiyo ni Rape kutokana na umri wa binti,
wafanyakosa walikimbia hivyo kuletea Polisi kutumia nguvu stahiki i.e. bunduki, kuwakamata, hakuna kosa hapo, ni bahati mbaya
Hata hivyo wakome waache ZINAA kama FF alivyolonga

huyo mwanamke alikuwa bar...wazazi wake wako wapi? huu ni mfumo duni wa ccm ..mtoto han la kufanya anajiuza..who to blame? CCM and no one else....offcourse kutembea na underage ni kosa kisheria, mteja kaenda bar kakuta malaya kamnunua..au siku hivi wanawake (machangudoa) wanaandikwa miaka yao vifuani?..ccm mnatupeleka wapi? i cant wait hili li CCM kufa
Hapa Mkuu umechemsha, kidooogo tu! Hivi unalaumu CCM kwa tabia za watu binafsi?
Huu umalaya umeletwa na CCM? Nchi mabazo hakuna CCM umepelekwa na nani kule?
Tunaweza kulaumu loopholes za sheria, kwa kutoweka sawa baina ya umri wa kufanya ngono (miaka 18) na umri wa kuolewa (miaka 15).
Tunaweza kuwalaumu askari kwa kutumia nguvu kupita kiasi na rushwa (hapa walidai mshiko walipokosa wakawamata), lakini kuilaumu CCM kwa sababu mtu katumia uhuru na haki yake ya kibinaadamu, hapo sielewi.

Huyo msichana hata angekuwa ni mwanamke mwenye miaka zaidi ya 18, Na mwanaume kadhalika, bado suwala la uzinifu ni kosa kwa sheria za Tanzania. Na haswa kama linafanywa nje kwenye magari.
Uzinifu ni kosa Tanzania? Mbona kila kukicha tunaona viota vya MaCD na wateja wakubwa ni viongoz wa serikali (na wa kidini)?
Naomba kujulishwa kifungu cha sheria na adhabu yake.

Back
Top Bottom