Alabuliwa Risasi Ya Makalio Akizini Ndani Ya Gari

Sheria ya ndoa inasema kuwa binti wa miaka 14 anaweza kuolewa lakin endapo wazaz wooote wameridhia,si hivyo tu na ikiwa HASOMI
Wawache zinaa na kujiuza.

Halafu wasingekimbia, kilichowakimbiza ni nini? inaonesha polisi walikuwa wakiipiga risasi gari ili isimame na bahati mbaya risasi ikapenya na kumtandika makalio huyo kijana.

Wanaume kutembea na msichana wa miaka kumi na sita ni kosa Tanzania? au akiwa anasoma tu? kwani najuwa kuwa si kosa kuolewa wa miaka kumi na sita na hata wa miaka kumi na nne, labda sheria za ndoa ziwe zimebadilishwa.

"Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari."

Miaka 16??????

polisi wana mistake ya kupiga risasi bila sababu za msingi ila na huyo sweetsixteen yuko bar saa nane usiku hivi ana wazazi au yatima

Hoja ya kiswahili inajibiwa kwa kiswahili someni tena mtaelewa ndipo muulize kwa mshangao tena... Kha!

wao polisi walitukuta tayari tunamaliza lakini kutokana na woga tulikimbia ili tusikamatwe," alisema msichana huyo.(Msichana alijua kosa lake) Kipolisi ni kosa na Sheria inamtaka atumia arm kumsimamisha kwa ishara kwanza then risasi chini ya kiuno,

Alisema kwa kuona hali hiyo, mpenzi wake alisimamisha gari kwa kujisalimisha na polisi walipowafikia.

Huelewi na Majibu yote yapo hapo hapo au mleta habari aandike kwa English?

Zinaa hawawezi acha hadi goverment irekebishe uchumi wa ukweli sio wa vitabuni na hii ni urithi wa Dunia Zinaa alianza Hawa

Bahati mbaya! hiyo ni kawaida ya Polisi wetu kusingizia hilo Tuliona kwa Zombe walipiga Juu kwa bahati mbaya zikampata nadhani risasi zao huwa zinaenda juu na kutua kwenye target.

Wanaume kutembea na msichana chini ya miaka 18 ni kosa la ubakaji hat kama amemuoa hii sheria ilishadadiwa nchi nzima ilifahamu na ubakaji ulipungua pengine jk ndio hakujua hilo akidai ni kiherehere chao.

Hao Jamaa ni uzembe wao kutowapoza hao polisi sheria itawashika wote.

Chenge pekee ndio anaweza fanya kosa kisha akaishinda sheria akawa huru Bisha
Hapo kwenye nyekundu si kweli, tuombe radhi kwa kumdhalilisha mama yetu. Uwe na
Adabu wakati mwingine.

"Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari."

Miaka 16??????
Hivi cha kushangaza nini hapo?

huyo mwanamke alikuwa bar...wazazi wake wako wapi? huu ni mfumo duni wa ccm ..mtoto han la kufanya anajiuza..who to blame? CCM and no one else....offcourse kutembea na underage ni kosa kisheria, mteja kaenda bar kakuta malaya kamnunua..au siku hivi wanawake (machangudoa) wanaandikwa miaka yao vifuani?..ccm mnatupeleka wapi? i cant wait hili li CCM kufa

Itafika siku hadi mtoto wako wa kumzaa akijinyea utailaumu CCM, kuwa inawapeleka wapi, watanzania muache ushabiki usio na msingi, swala hilo linaingiliana vp na chama, mtoto ushindwe kumlea wewe, unalaum mwingne, sheria zimewekwa, sehem za starehe watoto hawaruhusiwi, pombe isiuzwe kwa mtu chini ya miaka 18, so unataka makada wa CCM wakae kila bar ku-enforce hizo sheria??
for ur info, law enforcers ni police, may b thats the reason walienda sehem hiyo, but walichobugi ni kufyatua risasi kwa mtu asiyetishia usalama wa polisi hao, and thats the main point of discussion....hata ikitawala chama cha mapadre-CHADEMA, IT WILL ALL BE THE SAME.....

Kumbe polisi wetu wanaruhusiwa kutumia nguvu ya ziada (deadly force) pale wanapojiskia? Sasa inakuaje tukio kama hili live bullets zikapigwa? I'm sure huyo binti angefariki huyo jamaa yake wangeframe kosa moja la kutisha probably jambazi sugu ama labda hata sasa hivi jamaa angekua 6 feet under.

Hebu tuusikilize Fcuk Police ya NWA, inaapply hadi huku?

It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.

Mwita!!!!

"Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari."

Miaka 16??????

Hivi kwa maumbo ya watoto wa sasa mtoto wa miaka 16 utamjua kwa kumtazama?na kama alidandanya umri wake?mimi naona kosa la kuangalia umri ni gumu kidogo kwani maumbo na mwonekano hudanganya.

Wawache zinaa na kujiuza.

Halafu wasingekimbia, kilichowakimbiza ni nini? inaonesha polisi walikuwa wakiipiga risasi gari ili isimame na bahati mbaya risasi ikapenya na kumtandika makalio huyo kijana.

Wanaume kutembea na msichana wa miaka kumi na sita ni kosa Tanzania? au akiwa anasoma tu? kwani najuwa kuwa si kosa kuolewa wa miaka kumi na sita na hata wa miaka kumi na nne, labda sheria za ndoa ziwe zimebadilishwa.

acha kutetea uzembe wa polisi.. huu ndo ubaya wa kuajiri polisi wanaofikiri kwa kutumia masaburi

It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.

Uzi wa kiswahili ujibu kwa kiswahili, ukikuta umeandikwa ung'enge ndo ushushe ung'eng'e wako. Ni ustaarabu rahisi sana, badilika ndugu.

Uzi wa kiswahili ujibu kwa kiswahili, ukikuta umeandikwa ung'enge ndo ushushe ung'eng'e wako. Ni ustaarabu rahisi sana, badilika ndugu.

JF inaruhusu lugha yoyote ya mawasiliano ilimradi isiwe ya matusi au kuudhi.

It clearly looks like was a consensus among the two, so how did police get into and opened fire to the girl? There is apparently covering up of some of the information which could otherwise reveal the police weaknesses.
Huyu akili zake zinamtuma kwamba kiingereza ndio usomi, siku akibahatika kufika Uingereza atasema Waingereza wote wasomi hadi ambao wamelazwa wodi za vichaa, na mpaka watoto wanaonyonya atasema wasomi. kazi ipo ushamba mbaya sana.

ccm na ahadi zenu feki unauliza kwanini wanajiuza kamuulize ******

Back
Top Bottom