Alaaniwe huyu bosi

gwagu

Member
Oct 20, 2010
11
1
Kunabosi mmoja katika taasisi inayohusiana na usimamizi katka safali za anga ambae ni mkulugenzi wa utumishi ametoa ya mwaka kwa kukataa kutoa zawadi za noel na mwaka mpya kwa vituo vya watoto yatima na wajane badala yake akaamulu zawadi hizo wapelekewe maofisa wa wizala ya uchukuzi na hazina bila kujali ya kuwa watoto hao wanhitaji kupata falaja katika kipindi hiki na pesa za zawadi ni kodi ya wavuja jasho wa nchi hii lakini matokeo yake akawapeleke watu ambao kwanza hawana shida kama hao yatima na pia hata mkuu wa nchi huwa anapeleka zawadi kwa yatima lakini kwa vile anajikomba kwa wakubwa ndioakaona apelekee zawadi wakubwa wa hazina na uchukuzi bila kuwajali mayatima wa mungu
kwa kujipendekeza ndio akamlipa mkulugezi anae kaimu feza za fenicha kiasi cha milioni kumi na nane je akipatikana mkulugenzi mpya itakuwaje feza zake za fenicha

na alaaniwe kila anaenyanyasa yatima na wajane
 
Tena kwa taalifa zaidi inasemekana alipokuwepo mkulugenzi mkuu aliestaafu mama myagi alikua jamaa hatikisiki lakini toka ameondoka anafanya madudu na huyo mama ilikua ni heli watu wa wizala wakose lakini yatima na wajane lazima kipindi hiki wapate zawadi za sikukuu zote idi na klismas
 
Hebu jifunza kuandika lugha yako ya Taifa vizuri tazama humo nilimokuwekea rangi nyekundu, iwe kama ifuatavyo:

safali = safari
mkulugenzi = Mkurugenzi
akaamulu = akaamuru
wizala = Wizara
falaja = faraja
feza = fedha
 
Sio riziki yao ingekuwa riziki yao ingewafikia! Mungu yatima wote atawatunza sema inshaalah!
 
Tena kwa taalifa zaidi inasemekana alipokuwepo mkulugenzi mkuu aliestaafu mama myagi alikua jamaa hatikisiki lakini toka ameondoka anafanya madudu na huyo mama ilikua ni heli watu wa wizala wakose lakini yatima na wajane lazima kipindi hiki wapate zawadi za sikukuu zote idi na klismas
Huko kote kwenye 'l', weka 'r'...sawa eeh?

Broda weye ni wa kabila langu nini?
Una hoja yenye mashiko lakini masikio ya lugha yako yanapita KICHWA!:party:.
 
Hebu jifunza kuandika lugha yako ya Taifa vizuri tazama humo nilimokuwekea rangi nyekundu, iwe kama ifuatavyo:

safali = safari
mkulugenzi = Mkurugenzi
akaamulu = akaamuru
wizala = Wizara
falaja = faraja
feza = fedha
cha maana ni ujumbe kufika na wenye kutaka kuelewa wameelewa...
 
Ana elimu gani huyo mkulugenzi aka MKURUGENZI? anajikomba au alipata cheo kwa uzoefu tuu??
 
Tena kwa taalifa zaidi inasemekana alipokuwepo mkulugenzi mkuu aliestaafu mama myagi alikua jamaa hatikisiki lakini toka ameondoka anafanya madudu na huyo mama ilikua ni heli watu wa wizala wakose lakini yatima na wajane lazima kipindi hiki wapate zawadi za sikukuu zote idi na klismas

mwenyewe akijua umemuita hivyo....mmh....haya bana.....alaaniwe kabisa huyo bosi
 
ndugu gwagu, namashaka na uraia wako, hivi kiswahili kinakushinda kiasi hicho??
 
inashindikana nini kumtaja huyo mkurugenzi? mbona wengine mnataja mfano lowasa, werema nk, tutajie basi huyo kibosile tumchambue hapa, u never know huenda wengine tuna more referenses za huyo mtu
 
Muombee Adui yako,,,ili unapofanikiwa ajionee Baraka zako!!!!!!!!!!!!!

Mungu atawanusuru tu haoowajane na Yatima!!!

God is good all the time.
 
mwenyewe akijua umemuita hivyo....mmh....haya bana.....alaaniwe kabisa huyo bosi

avatar20103_17.gif

Preta: lakuso iteitei lya kimande lyankimbusa kulya mndenyi wanda ya kahawa ngikuterwa ulibadilishe kokifa ngelemo irunda kasi za wandu ngeliambia tupu.
 
Hebu jifunza kuandika lugha yako ya Taifa vizuri tazama humo nilimokuwekea rangi nyekundu, iwe kama ifuatavyo: safali = safari mkulugenzi = Mkurugenzi akaamulu = akaamuru wizala = Wizara falaja = faraja feza = fedha
Huyo ni msukuma hawezi kubadilika kihivyo
 
thanks 4 assistance huwa NACHUKIA sana kusoma maandishi yaliyokosewa, hivi hawa watu waliruka standard one, ama kwanini hawafanyi proof reading? aargghh!!!
 
Back
Top Bottom