Alaaaah Kumbe ndio maana waalimu wanadharaulika!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Niko kwenye tv nafuatilia Hotuba ya mh,PM na Madaktari ndipo nilipogundua kuwa kumbe kiapo chao madaktari kinawaruhusu wazi kufanya mgomo ili kutekeleza kiapo chao walicho apa .Swali kwenu waalimu kiapo chenu kinasemaje? Na kama kinasema hivyo hamuoni huo ndio mwanya wa nyie Kudharaurika?
Nawasilisha.
 
Walimu walishagoma siku nyingiiiiiii, nadhani mnaona matokeo ya shule za serikali yasemavyo
 
Walimu wagome mara ya ngapi mkuu? We unaona haya matokeo ya 4m iv yakoje? Walimu kazeni uzi mpaka watakapozinduka. Wasipoelewa msiumize vichwa kwenda barabarani. Hiyo staili yenu makini kabisa.
 
:juggle::ballchain:balaa sana hilo........emb tuandikie kiapo cha dokta na cha mwalimu?:alien::alien:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom