Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

huyu jamaa hata kama ni fisadi lakini anachoa fanya musoma vijijini kinaonekana na amepeleka maendeleo kwa kiasi chake!
hao wengine mmmmmh

Ukimwibia mtu milion 10 kisha akamgai 100,000/ apoze machungu hiyo ikoje? huyu anataka kupata symphasizers siku yakimkuta ! si unakumbuka Lowasa alitandikwa zulia na Maskofu walikuepo kumuombea dua !
Just a ROBIN HOOD STYLE !!
 
huyu jamaa hata kama ni fisadi lakini anachoa fanya musoma vijijini kinaonekana na amepeleka maendeleo kwa kiasi chake!
hao wengine mmmmmh

Duh! with this kind of thinking Tanzania bado tuna safari ndefu...
 
Wamiliki tumekwisha wafahamu. Nini kifuate? Kama alivyosema Sitta, kuwalipa hawa wezi ni kuhujumu uchumi wa nchi. Ni wajibu wa kila mtanzania, kwa njia yoyote, kuhakikisha kuwa hawa wezi hawachukui hela yetu. Inatisha zaidi inpokuja mkuu wa nchi kuwanadi majukwaani majambazi hawa kuwa ndio wanaofaa kuwa viongozi wetu.
 
Stop making up stuff...Tanesco has violated the terms stipulated in the contract, and for that case Tanesco has to cough up 185 billion TZS! Who's next? Prof. Tibaijuka????:target:
 
Yaani pesa zote wanawagawana hao watu watatu???????? Na ndio wanaotutesa na giza na hata kupandishiwa umeme na ilhali umeme wenyewe wa tabu??????????????jamani mbona tumekwisha!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwenye vijiMICHEZO kama hivi NDIPO NAPOWAPENDA WACHINA.
Kwa mtu/watu anayechezea UHAI, USTAWI NA MASLAHI YA UMMA; They doesn't burgain with them at all but....
 
1) Rostam Aziz.
2)Eduard Ngoyaye Lowasa.
3)Nimrod Mkono.

Sikujua kwanini kesi hii imekuwa ni ngumu kwa serikali ya Tanzania. Sasa najua kumbe kuna kichwa(hiyo namba 3) kimo ndani ya nyumba. Hiki kichwa ndo kinawatia kiburi hawa namba 1 na 2 . Sikukujua hawa namba 1 na 2 walipata wapi ujanja wa kuhamishia mkataba toka Richman from Monduli to DOWNS, huu ni ushauri makini kabisa wa hiki kichwa namba 3. Hiki kichwa kinaweza kisiwekimehusika mojakwa moja kama mmiliki lakini kimetumika kutoa ushauri wa kisheria kukwepesha dhari iliyokuwa inawakumba hawa jamaa wawil. Bila hiki kichwa wao wangeshakuwa miguu juu zamani tu. Serikali inakiogopa hiki kichwa maana kinajua kuitumia taaluma yake vizuri katika mambo kama haya. Hapa ni nguvu ya UMMMAAAA ndiyo itakayo nusuru serikali ikifuata sheria, hiki kichwa kilishawatangulia hawatakiweza.
 
umemsahau KARAMAGI mambo mengi hushirikiana na hawa mabwana eg mkonga wa SEACOM wote hao wamo!
 
sasa wajamini hivi mnataka hela zilizotumika wakati wa kampeni zirudishweje kama sio kwa dili kama hizi? bora tuwanyonge watanzania maskini kwa kuwakamua bei kubwa ya umeme ili kufidia deni litakalolipwa Dowans.kwanza umeme kwao ni anasa tu wamezoea kuangalia sana mechi na tamthilia haya ndo maisha bora kwa mtanzania na endeleeni kunichagua tena 2015.
 
Jamani mbona Andrew Chenge jina lake halimo???????? Au kwa sababu za rada hakuwagawia mafisadi wenziwe??????????????? Tshs 185billions hata Kekwete yumo; na Pinda anayetetea kwamba watalipwa kwa kuwa ni utawala wa sheria!!!! Anatafuta hela za kuanzia maisha baada uchaguzi 2015?????????? Kwani mahakama gani jaji atahukumu kinyume na wanavyotaka-akikataa watamkolimba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lo, mbona kuna correlation ya 18.5 per cent na 185bn inayotakiwa kulipwa. Is it a calculated move? Ebu kokotoeni how long it will take to repay the ******.
 
Lo, mbona kuna correlation ya 18.5 per cent na 185bn inayotakiwa kulipwa. Is it a calculated move? Ebu kokotoeni how long it will take to repay the ******.

Mkuu soma #16. it will only take 100 days to pay them bila hata shirika kuyumba kutokana na hilo, shirika halilipi kutoka katika regular income bali from wananchi. period
 
mhm okaaaay, annual budget ya nchi yetu nzima tanzania bara,visiwani na wilaya plus vijiji vyote ni ngapi vileeeee? And hawa watu watatu tuuuu wanatakiwa walipwe bilioni 185 wana mahesabu naombeni mnisadiei hiyo ni percent ngapi ya budget ya wananchi zaidi ya milion 40 kwa mwaka,lakin itachukuliwa na watu wataty tu kwa deal lao moja tu lililotolewa in public....wat abt madeal yao ya gizani?!?!
 
Nadhani wengi tuliolipitia MwanaHalisi leo kwa umakini zaidi jibu tumelipata.Ukurasa wa pili alitupa fumbo kidogo, lkn kwenye ukurasa wa 10 na 11 akaona isiwe tabu mbona wanafahamika. AKAWAPULIZA kila mmoja katika pozi lake
 
Mbona unaongea sio, au babako? Watu wa aina hii si wakusifia hata kidogo. Hiyo ni janja ya panya ili kingi aingie. Neno amani ndio chanzo cha yote haya. Watu hatuwezi kufichua maovu ambayo sasa yanayumbisha nchi ya TZ.
 
hawa jamaa tukiwachekea tutavuna mabua ni watu wa kuwaogopa kama ukoma hawa!!!!!!!!!!:redfaces:
 
Stop making up stuff...Tanesco has violated the terms stipulated in the contract, and for that case Tanesco has to cough up 185 billion TZS! Who's next? Prof. Tibaijuka????:target:

We muhindi koko kaa kimya, hii nchi ni ya watanzania (wazawa) na ndio wenye uchungu nayo, nyie mlio zaliwa na kukulia kisutu hamuwezi kuwa na uchungu na pesa ya mtanzania. Our system has been compromised, kilichobaki ni kuwafuata na mawe na mikuki huko kisutu, oysterbay na masaki.
 
Tuacheni manenomaneno, ni wakati wa kuanza vitendo sasa. Kwani tunawashindwa nini hawa?! TUANZE NA YUPI?? Hilo ndo swali la msingi.
 
we are waiting WHOOOOOOOOOOO will sign na kusema fedha 185bil ziende kwa mafisadi, nchi zima maandamano yatatokea, huu ni uwizi, na AG
yupo kakaa kimya, JK yupo kimya, kama hawajui hivi, i am sick 185bil? hata tamko JK hatoi, umeme umepandishwa mwakani, hii yote ni kuktubebebsha madeni, mbaya zaidi bei ya bidhaa itapanda up to 35% hivi subirini MAAFAAAAAAAA
 
we are waiting WHOOOOOOOOOOO will sign na kusema fedha 185bil ziende kwa mafisadi, nchi zima maandamano yatatokea, huu ni uwizi, na AG
yupo kakaa kimya, JK yupo kimya, kama hawajui hivi, i am sick 185bil? hata tamko JK hatoi, umeme umepandishwa mwakani, hii yote ni kuktubebebsha madeni, mbaya zaidi bei ya bidhaa itapanda up to 35% hivi subirini MAAFAAAAAAAA

Matendo yako yangekua jasiri kama maneno yako mafisadi wa TZ wangekua wamefutika na ikabakia historia kuwa nchi hii iligubikwa na ufisadi.
 
Back
Top Bottom