Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

chamajani

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
552
31
Gazeti la Mwanahalisi la leo limeripoti habari kuwa wamiliki wa Dowans wanaojiandaa kuchota Bil. 185 ni hawa
1. Mfanyabiashara mmoja ambaye pia ni Mbunge
2. Mwanasiasa mmoja ambaye aliwahi kushika wadhfa wa juu Serikalini
3. Mwanasheria mashuhuri ambaye amweahi kutetea Serikali katika kesi mbalimbali na ana uhusiano na makampuni ya uwakili ya Uingereza. Mwandishi ameenda mbali kwa kudai kuwa majina anayo lakini anayahifadhi (an'way)!

Je hakuna mwana JF mwenye majina halisi ili ayataje hapa badala ya kufichaficha-kwa JF is wher we dare to talkopenly!

Wana JF, plz yamwageni hapa.
 
mbona wewe umeficha??
hawa wanafahamika na hata wakijisafisha hawasafishiki kamwe!
 
1) Rostam Aziz.
2)Eduard Ngoyaye Lowasa.
3)Nimrod Mkono.
\

mmmh kumbe ni hao nilijua tu hawatakosekana katika list
 
hakuna kuwalipa,mbn mhindi valambahi katudai mabilioni tukamtosa haadi leo?kama wanataka tuwalipe hao dowans wajitokeze hadharani
 
1) Rostam Aziz.
2)Eduard Ngoyaye Lowasa.
3)Nimrod Mkono.

cjui watz tumerogwa(pinda) tunasubiri ni kuwapotezea mabwege hawa? Mahakama na uongoz umewashindwa na sis 42m tumewashindwa mpaka wanatusababishia umeme na maji kupanda kwa ajili ya kuwaneemesha wao!
 
Gazeti la Mwanahalisi la leo limeripoti habari kuwa wamiliki wa Dowans wanaojiandaa kuchota Bil. 185 ni hawa
1. Mfanyabiashara mmoja ambaye pia ni Mbunge
2. Mwanasiasa mmoja ambaye aliwahi kushika wadhfa wa juu Serikalini
3. Mwanasheria mashuhuri ambaye amweahi kutetea Serikali katika kesi mbalimbali na ana uhusiano na makampuni ya uwakili ya Uingereza. Mwandishi ameenda mbali kwa kudai kuwa majina anayo lakini anayahifadhi (an'way)!
Je hakuna mwana JF mwenye majina halisi ili ayataje hapa badala ya kufichaficha-kwa JF is wher we dare to talkopenly!

Wana JF, plz yamwageni hapa.

Mi napropose itangazwe siku ya kuwalipa na wahusika wanaodai hayo mapene wajepokea mapesa yao uwanja wa taifa kama hawatatokea basi halipwi mtu, Kidding though.

Mzee kwenye deal hili hata Kikwekwe hapinduki naye yupo kama kama nyuma ya pazia
 
1) Rostam Aziz.
2)Eduard Ngoyaye Lowasa.
3)Nimrod Mkono.

huyu jamaa hata kama ni fisadi lakini anachoa fanya musoma vijijini kinaonekana na amepeleka maendeleo kwa kiasi chake!
hao wengine mmmmmh
 
mkubwa hiyo ni njia ya kujifariji kama sikosei kwa lugha ya kigeni inaitwa ALTRUISM....... hata huko south america wale wanohusika na madawa ya kulevya hujenga mashule hata makanisa
 
hakuna kuwalipa,mbn mhindi valambahi katudai mabilioni tukamtosa haadi leo?kama wanataka tuwalipe hao dowans wajitokeze hadharani

Mkurugenzi wa Ewura Mr Masebo ni classmates wa EL+Othman Rashid Milambo Sec Tabora. Lazima mtawalipa, piga ua, JK hana ubavu kuzikatalia hizo namba + Mkono and RA. Nidyo maana Harun Masebo ameidhinisha 18.5% increase ya bei ya umeme. It will only take two weeks or 100 days to get that money.
faini ni 185bn increase ni 18.5% do you see something fishy there. TANESCO wala haitayumba katika bajet yake, wateja ndo wanailipa DOWANS.

Kubali au ukatae. The fact is this country has no Leadership, hata mafisadi wanajua hilo.
 
huyu jamaa hata kama ni fisadi lakini anachoa fanya musoma vijijini kinaonekana na amepeleka maendeleo kwa kiasi chake!
hao wengine mmmmmh

mkuu unashauri tuipore serikali lakini tulete maendeleo? Sijakuelewa! Umefika musoma au unasikiliza waandishi wa habari waliokula fungu la mia la huyu mwanasheria au?
 
hakuna kuwalipa,mbn mhindi valambahi katudai mabilioni tukamtosa haadi leo?kama wanataka tuwalipe hao dowans wajitokeze hadharani

valambahi ilikuwa dili enzi za nyerere hawa ni mumiani lazima jk atawalipa tu hana ubavu wa kuwatosa, hajipendi?. trust me
 
huyu jamaa hata kama ni fisadi lakini anachoa fanya musoma vijijini kinaonekana na amepeleka maendeleo kwa kiasi chake!
hao wengine mmmmmh

Kipi kuwatengenezea shule vijijini wakati wananchi wake ni maskini hata wa kupeleka watoto wao shule. Kwani asiwawezeshe wakaweza kusomesha watoto wao wenyewe? Acheni hizo!!!
 
Back
Top Bottom