Al-Shabaab on a mission to bomb Nairobi and Mombasa

Wapige tu, tena to the ground.
Si wakenya walijifanya vimbele mbele kwenda kuwachokoza huko somalia?
 
Be careful dude.

kwa nini uanzishe ugomvi wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo.
Kwa nini ukapigane vita isiyokuhusu?
Wakenya walijifanya vimbele mbele kuwashambulia al shaabab, sasa kipo wapi? Mwishowe wanakimbilia AMISOM, why?
Hizo propaganda za al shaabab, al queda ni za US na UK wake, ingewapasa wao ndio wangeenda somalia, kwani hiyo ni vita yao na si ya wakenya. Sasa kwa kuwa mmeingia mkenge na kichwa kichwa, subirini kupokea kichapo. Kuna msemo moja mnatakiwa kujifunza, 'pilipili usiyoila, inakuwashia nini'
 
Hili litawasumbua sana Wakenya!

"Usipoziba ufa hakika utajenga ukuta"

Hili Al-Shaabab ni janga kwa raia wasio na hatia wa Kenya!
 
Wapige tu, tena to the ground.
Si wakenya walijifanya vimbele mbele kwenda kuwachokoza huko somalia?

Usiongee kama hujasoma aise.. if a thing like that is to happen, innocents would die.. kuwa na utu bana, waisilamu wengi tumekuwa wajinga na haya mambo ya terorism, tunaua uisilamu sisi wenyewe.
 
kwa nini uanzishe ugomvi wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo.
Kwa nini ukapigane vita isiyokuhusu?
Wakenya walijifanya vimbele mbele kuwashambulia al shaabab, sasa kipo wapi? Mwishowe wanakimbilia AMISOM, why?
Hizo propaganda za al shaabab, al queda ni za US na UK wake, ingewapasa wao ndio wangeenda somalia, kwani hiyo ni vita yao na si ya wakenya. Sasa kwa kuwa mmeingia mkenge na kichwa kichwa, subirini kupokea kichapo. Kuna msemo moja mnatakiwa kujifunza, 'pilipili usiyoila, inakuwashia nini'

Shughuli za alshabaab Huko Lamu na sehemu zingine ndio zilifanya jeshi la kenya kuingilia kati. kenya wakati huo alshabaab wasingethubutu shughuli zao kule Lamu, Kenya KDF insingeingilia kati
 
al shabab is just a flea on the elephant(Kenya) back. a few cowardly grenades thrown here and there by the terrorist are nothing maybe if they had 40million grenades for 40 million Kenyans there would be a worry,Kenyans are not cowards.
 
so is MD25 implying that Kenyans should have simply done nothing??? unless it's the Tanzanian politicians way of talking bila action(as some of you say kwa jukwaa la siasa) that you wanted Kenya to do?
 
Ingewapasa kwanza kumtafuta na kumjua adui wenu wa kweli ni nani?
Ingewapasa kutambua kuwa hiyo ishu ya al shabaab haina tofauti na story za al queda.
Mkatae mkubali, juweni kuwa mmeingia kwenye 'strategic trap'
mwanzoni mlijiaminisha kuwa al shabaab mtawamaliza, mkavamia somalia, maji yalipofika shingoni mkakimbilia AMISOM, WHY?
Tafuteni alternative ya ku resolve this matter, diplomatically...
Waacheni al shabaab waendelee na biashara zao na US.
Kuweni makini, mtatandikwa mpaka mshangae.
Hii ishu haikuwa yenu, ni vimbele mbele vyenu ndo vinawaponza..
 
kwa nini uanzishe ugomvi wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo.
Kwa nini ukapigane vita isiyokuhusu?
Mmekuwa wepesi wa kusahau, kiasi kwamba hamkumbuki al-Qaeda/al-Shabaab waliporipua Nairobi na Dar es Salaam.
Mimi sio Mkenya, lakini ninaunga mkono juhudi za KDF za kupambana na wauawaji hawa wanaoua watu wasio hatia kwa jina la dini. Ni kukomeshwa kwa al-Shabaab tu ndio eneo lote la Pembe ya Afrika - kutoka Djibouti hadi Tanzania - ndipo amani itapatikana.
 
I look into this the coming East African Community war against terrorism. It won't be Kenyans only, but this whole region. Let us be careful on it.
 
REspect to you and everyone else here who see this as the challenge to all our countries. Al Shabaab must be decimated!
 
I look into this the coming East African Community war against terrorism. It won't be Kenyans only, but this whole region. Let us be careful on it.
Huo ni ujinga ! Kasumba na nyimbo za wakubwa, mnapokea bila kufikiri ! Watuareg (Mali) wamepigana kwa 52yrs leo mamepata ushindi tayari wanaitwa al qaida !
 
Back
Top Bottom