Hizi nchi zote Uganda,Kenya,Burundi,Pakistan na makundi mengine moja moja ni kama vile mbwa tu wa kuwindia ngawira za wakubwa.Hakuna cha kufurahia wala cha kutambia.
Boti,drone na vyengine ni zana za kazi kutoka kwa wakubwa.Wenyewe wanakimbia maeneo waliyojitwalia.Itakuwaje Kenya na wenzake tutaweza kuhimili kufa kila siku kwa miripuko ya kujitoa muhanga?.Usidhani wasomali watalala wakubali kutawaliwa na makafiri.
Wamechokozwa na kusingiziwa uongo mwingi.Eti wanateka meli nyara.Nani kaona hivyo vitendo.Si wote mnasoma tu.Uchokokozi na visingizio hivi ndivyo vinavyopelekea dunia kuwa pahala pabaya kuishi.
Hongera sana kwa kuwakumbatia El-Shabab, kwa vile siyo makafiri. Kafiri ni nani?