Al-Shaabab wamedhibitiwa? Maandamano sasa kuendelea

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Ebana hili ishio la Al-Shaabab kuwepo kwenye Maandamano tu na Sio kwenye makutaniko ya Watu Wengi haswa Uwanja wa Taifa Mkuu wetu wa Police Mbona Kimya
 
Binafsi sikutegemea kuwa mkesha wa miaka 50 ya uhuru utapita salama bila al shabaab kufanya tukio,hapa ninajiuliza hivi ile marufuku toka polisi ilikusudiwa kuepusha madhara au kuzuia waliokuwa mwiba kwa serikali
 
Back
Top Bottom