Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother in Kenya.

nifahamuvyo mimi hao waitwao 'magaidi' huwa na strategy moja tu kwenye mapambano yao. kuhakikisha wanafanya shambulio ambalo litasababisha coverage kubwa. coverage ndo inayowatangaza na kufanikisha malengo yao. sishangazwi hata kidogo kama al shabab wataamua kumfuata huyu bibi. kwao sio kumuua huyo bibi la hasha. kwao ni publicity itakayofuata baada ya kumuua ndo inayo-matter. bibi wa watu wala hawana shida nae lakin ili agenda yao (iwe hasira, revenge au chochote) kiwafikie maadui na marafiki (sympethisers) zao anaweza kuwa target nzuri sana.
 
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.


satanic verses
 
Hapa ndio magaidi wanaponishangaza badala ya kwenda kuwapiga askari wa marekani wao wanatafuta watoto,vibibi na watu ambao hawataweza kupambana nao. Sasa huyu bibi ndiye aliyetuma wae Navy SEALs wakamwue Osama?
Ukiangalia hiyo habari yenyewe kwenye ABC ni usanii mtupu kama kifo cha Osama wa Abbottabad lakini mandondocha wa JF wameshakwenda mbali kama kwamba hilo tukio limetokea,na wala hawahoji limeanzaje.Almuradi ni undondocha tu...
Hebu angalieni wenyewenu hapa:
Security has been increased around the home of President Barack Obama's step-grandmother in Kenya after an African al Qaeda branch issued a personal threat against her, police said today
Tawi la Alqaeda la Africa limetokea wapi?.Hilo tishio lao limepatikana wapi?.Ni Alshabbab au ni Alqaeda Africa branch?.
 
Back
Top Bottom