Al Qaeda 'Plans breast bombs'

Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
831
Al Qaeda is laying deadly "booby traps" by equipping its famale suicide bombers with explosinve breast implants that are impossible to be detected at airport security check points. the British intellegence agency M15 has claimed. The lethal explosives called PETN are inserted inside plastic shapes during the operation, before the breast is the sewn up.

source: India times
 
War 'on tera' has the long way to go!! This is very serious!!
 
:D Since the source is India times, I think its better 2 watch india movie right now....:D
 
Sasa baada ya kuchunguza watu mpaka kwenye nyeti wanataka na kuwashika matiti? Mhh tuna safari ndefu.

I'm waiting to hear there are balls implanting. Wenye mishipa tutakoma kupanda ndege.
 
:D Since the source is India times, I think its better 2 watch india movie right now....:D
Naona unavyojitahidi kuchangia kila post kwenye kila jukwaa......vp wamekwambia kuna mshiko nn?
 
Naona unavyojitahidi kuchangia kila post kwenye kila jukwaa......vp wamekwambia kuna mshiko nn?
:Ddogo mbona umekasirika kuniona...Yani kweli duniani kuna vichaa wengi...wengine unawakuta kwenye mitandaooo...:D
 
Mhh ajamani sijakaa nikatulia kufuatilia news lakini naona kama kuna Al-qaeda frenzy this week whats up; jamaa kajitokeza?
 
Hamna kazi ngumu duniani kama ulinzi kwani hujui ni lini aui yako atkayokujia, atakujia kwa staili ipi na akitumia silaha aina gani. Lakini adui yako anakufahamu wewe vizuri hivyo anajiandaa kukupiga. Ndio sababu BAZAZI anaiogopa sana kazi yeyote ya vyombo vya dola au hata kampuni binafsi za ulinzi kama KK security etc
 
Back
Top Bottom