Al muntazir kuna ubaguzi wa kiiman

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Nimesikia kutoka kipindi cha maswali na majibu cha bunge kuwa shule za al-Muntazir inayomilikiwa na WASHIA ina upendeleo kwa wanafunzi wenye imani hiyo.. Hii imekaaje?!
 
Ni sawa akitaka hao wa dhehebu lake nao wajenge shule siyo kulia lia. Sisi Washia tunataka serikali iturudishie shule zetu kama Zanaki, Azania, Jangwani n.k......wao waendelee kucheza bao tu wasubiri kuja kusoma kwenye shule zetu
 
Back
Top Bottom