Al Jazeera's Investigative Unit: Kenyan Counter-Terrorism Police confess to extrajudicial killings

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
- For the first time, members of Kenya's counter-terrorism police admit to ‘eliminating' radical Muslims
- Police eliminations could be "almost 500"
- "Prima facie evidence" to suggest Britain and Israel involved


Speaking exclusively to Al Jazeera's Investigative Unit, officers from four units of Kenya's counter-terrorism strategy admitted the police assassinate suspects on government orders.

An Anti-Terrorism Police Unit (ATPU) officer said the order comes from Kenya's National Security Council: "It comprises of the President, Deputy President, Chief of the Defence Forces, Inspector General of Police, National Security Intelligence Service Director, Cabinet Secretary of Interior, and the Principal Secretary Interior. Any decision is made within that club of people."

President Uhuru Kenyatta and National Security Council members denied running an extrajudicial killing programme.




Police eliminations, according to the ATPU officer, could run into the hundreds every year: "Day in, day out, you hear of eliminating suspects. We have the police itself. We have special units like GSU. So not a total, but you can say about almost 500."

The officers admitted to personally killing suspects. The General Service Unit (GSU) Recce Company officer said: "Since I was employed, I've killed over 50. Definitely, I do become proud because I've eliminated some problems."

attachment.php


The officers said Kenya's weak judicial system forces them to resort to assassinations, as the police have failed to produce strong enough evidence to prosecute terror suspects, with only one conviction recorded.

"If the law cannot work, there's another option… Eliminate him," said the GSU Recce Company officer.

Abubaker Shariff Ahmed was a controversial Muslim radical known as Makaburi. Despite being charged under Kenya's terrorism laws, he was never convicted.

attachment.php


In April he was gunned down outside a Mombasa court. Human rights groups claim he was one of 21 Muslim radicals allegedly killed by police since 2012.

Speaking to Al Jazeera, the officers confirmed this for the first time.

"Makaburi was killed by the police," said one officer. "That execution was planned in Nairobi by very top, high-ranking police officers and government officials."

Al Jazeera exclusively obtained confidential police reports, which purport to show Makaburi had extensive links to Somali militant group al Shabaab and had planned and financed bombings in Kenya.

The officers claim the intelligence, which drives the government's "elimination programme," was supplied by Western security agencies.

The GSU Recce Company officer said: "Once they give us the information, they know what they have told us. It is ABCD: ‘Mr. Jack' is involved in ‘such and such' a kind of activity. Tomorrow he's no longer there. We have worked. Definitely the report that you gave us has been ‘worked on'."

A Kenyan National Police spokesperson refused to comment on the allegations.

According to the officers, Britain provides training, equipment and intelligence to the units,

Israel conducts more specific training, according to a GSU Radiation Unit officer: "We get some instructors from Israel," he said. "How to eliminate. Actually it's one of the training."

Mark Ellis, the head of the International Bar Association, warned the alleged complicity of these countries could violate international law.

Ellis said: "It's clear based on these interviews that there's at least prima facie evidence to suggest that these third party countries are involved and therefore they all have responsibility to investigate.

attachment.php


"We should stop providing any type of assistance or training to police units in Kenya until there is a clear change… in how the Kenyan authorities deal with suspects."

Britain and Israel denied involvement and the UK Foreign Office said it had "raised concerns" with Kenya over the "serious allegations."

Inside Kenya's Death Squads premieres on Monday, 8 December 2014 at 2000 GMT / 2200 CAT (DO NOT MISS!)
 

Attachments

  • Source_Kenya_revealing.jpg
    Source_Kenya_revealing.jpg
    15.9 KB · Views: 4,404
  • ArmedPolice.jpg
    ArmedPolice.jpg
    39.1 KB · Views: 3,784
  • cartrige.jpg
    cartrige.jpg
    20.7 KB · Views: 3,714
Last edited by a moderator:
Amefanya ku-proove tu. Tuliokuwa tunafatilia nchi ya kenya inavyoendeshwa tunajua nani anaua watu. Long life Mohamed Ally
 
140219084835_makaburi.jpg
Abubakar Shariff Makaburi ni mmoja wa viongozi wa kiisilamu aliyeuawa na watu wasiojulikana mjini Mombasa

Shirika la habari la Al Jazeera limepeperusha ripoti ambayo imehusisha maafisa wa usalama wa Kenya na mauaji ya viongozi wa dini ya kiisilamu pamoja na washukiwa wa ugaidi.

Taarifa hiyo ya ufichuzi iliyopeperushwa Jumatatu, ilionyesha baadhi ya maafisa wa polisi wanaofanya kazi yao kwa usiri mkubwa wakikiri kuwaua baadhi ya viongozi wa kiisilamu wanaosemekana kufunza mafunzo yenye itikadi kali ya kiisilamu pwani ya Kenya.

Ripoti hio http://goo.gl/wYV91g ambayo ilikuwa ni kanda ya video yenye polisi hao wakikiri kuwaua waisilamu mjini Mombasa, iliwekwa kwenye mtandao wa YouTube na shirika hilo.

Inaonyesha sura za polisi hao zikiwa zimefichwa huku wakisimulia ambavyo wamekuwa wakiwaua watu wanaonekana kua wenye kutoa mafunzo ya itikadi kali na wanaotatiza usalama wa nchi.

Wengi ambao wameuawa na maafisa hao ni washukiwa wa ugaidi waliodaiwa kutoa mafunzo ya itikadi kali za kidini.

Walisema kuwa wampokea mafunzo yao kutoka kwa mashirika ya kijasusi ya kimataifa ikiwemo MI5 la Uingereza na Mossad la Israel.

Mmoja wa maafisa anasema wamewaua washukiwa wengi sana wa ugaidi akiwemo Sheikh Abubakar Shariff Makaburi mnamo mwezi April.

Taarifa hizo zilichapishwa kwenye vyombo vingine vya habari vikizungumzia mauaji ya kisiri ya washukiwa wa Ugaidi yanayofanywa na maafisa wa polisi waliopata mafunzo ya hali ya juu nchini Kenya.


140818115706_kenya_police_512x288_bbc_nocredit.jpg Polisi wa kupmbana na ghasia nchini Kenya GSU mjini Mombasa


Baadhi ya maafisa hawa wanatoka kitengo cha polisi wa kupambana na ghasia au GSU na shirika la kitaifa la ujasusi.

Mmoja wao alinukuliwa akisema katika kanda hio ....''sisi hupewa taarifa tu na kisha kutekeleza matakwa ya wakuu wetu. Huwa tunamuua yule mshukiwa tuliyetumwa kumuu na kazi hii huwa tunaifanya kwa usiri mkubwa sana,''

wote waliohojiwa wanasema wao hupokea mafunzo ya hali ya juu mno kabla ya kufanya kazi yao kwa umakini mkubwa.

Ripoti hiyo ya Al Jazeera inasema kuwa washukiwa wa ugaidi huuawa badala ya kupelekwa mahakamani.

Sio mara ya kwanza kwa mashirika ya usalama nchini Kenya kutuhumiwa kwa mauaji ya washukiwa wa ugaidi kwa siri.

Hata hivyo, Serikali ya Kenya imetoa taarifa kupinga ripoti hio inayodai kuwa polisi nchini humo walihusika na mauaji ya washukiwa wa ugaidi.

Ripoti hiyo iliyoonyeshwa na runinga ya al jazeera ilidai kuwa maafisa kadhaa wa polisi walikiri kuwa kikosi maalum cha usakama kilihusika na kutoweka na hatimaye mauaji wa washukiwa wa ugaidi, hasa viongozi wa dini ya kiislamu waliokiswa kuwa na siasa za misimamo mikali.

Lakini katibu wa wizara ya habari nchini Kenya amesema ripoti hiyo haina msingi wowote na kutaka shirika hilo la habari kuiomba msamaha.


Source:
http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/12/141209_kenya_ugaidi_mauaji?
 


Shirika la habari la Al Jazeera limepeperusha ripoti ambayo imehusisha maafisa wa usalama wa Kenya na mauaji ya viongozi wa dini ya kiisilamu pamoja na washukiwa wa ugaidi. Taarifa hiyo ya ufichuzi iliyopeperushwa Jumatatu, ilionyesha baadhi ya maafisa wa polisi wanaofanya kazi yao kwa usiri mkubwa wakikiri kuwaua baadhi ya viongozi wa kiisilamu wanaosemekana kufunza mafunzo yenye itikadi kali ya kiisilamu pwani ya Kenya.

Ripoti hio Exclusive: Kenyan counterterrorism police admit to extrajudicial killings | Al Jazeera America ambayo ilikuwa ni kanda ya video yenye polisi hao wakikiri kuwaua waisilamu mjini Mombasa, iliwekwa kwenye mtandao wa YouTube na shirika hilo. Inaonyesha sura za polisi hao zikiwa zimefichwa huku wakisimulia ambavyo wamekuwa wakiwaua watu wanaonekana kua wenye kutoa mafunzo ya itikadi kali na wanaotatiza usalama wa nchi.

Wengi ambao wameuawa na maafisa hao ni washukiwa wa ugaidi waliodaiwa kutoa mafunzo ya itikadi kali za kidini.
Walisema kuwa wamepokea mafunzo yao kutoka kwa mashirika ya kijasusi ya kimataifa ikiwemo MI5 la Uingereza na Mossad la Israel. Mmoja wa maafisa anasema wamewaua washukiwa wengi sana wa ugaidi akiwemo Sheikh Abubakar Shariff Makaburi mnamo mwezi April.

Taarifa hizo zilichapishwa kwenye vyombo vingine vya habari vikizungumzia mauaji ya kisiri ya washukiwa wa Ugaidi yanayofanywa na maafisa wa polisi waliopata mafunzo ya hali ya juu nchini Kenya. Baadhi ya maafisa hawa wanatoka kitengo cha polisi wa kupambana na ghasia au GSU na shirika la kitaifa la ujasusi.

Mmoja wao alinukuliwa akisema katika kanda hio ....''sisi hupewa taarifa tu na kisha kutekeleza matakwa ya wakuu wetu. Huwa tunamuua yule mshukiwa tuliyetumwa kumuua na kazi hii huwa tunaifanya kwa usiri mkubwa sana,'' wote waliohojiwa wanasema wao hupokea mafunzo ya hali ya juu mno kabla ya kufanya kazi yao kwa umakini mkubwa.

Ripoti hiyo ya Al Jazeera inasema kuwa washukiwa wa ugaidi huuawa badala ya kupelekwa mahakamani. Sio mara ya kwanza kwa mashirika ya usalama nchini Kenya kutuhumiwa kwa mauaji ya washukiwa wa ugaidi kwa siri. Hata hivyo, Serikali ya Kenya imetoa taarifa kupinga ripoti hio inayodai kuwa polisi nchini humo walihusika na mauaji ya washukiwa wa ugaidi.

Ripoti hiyo iliyoonyeshwa na runinga ya al jazeera ilidai kuwa maafisa kadhaa wa polisi walikiri kuwa kikosi maalum cha usakama kilihusika na kutoweka na hatimaye mauaji wa washukiwa wa ugaidi, hasa viongozi wa dini ya kiislamu waliokiswa kuwa na siasa za misimamo mikali. Lakini katibu wa wizara ya habari nchini Kenya amesema ripoti hiyo haina msingi wowote na kutaka shirika hilo la habari kuiomba msamaha.

Chanzo: Al Jazeera yaihusisha Kenya na mauaji - BBC Swahili
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Kenya, njia pekee ya kupunguza kupe ni kuwapulizia sumu, hata Parkstan juzi waliua kubwa la magaidi.

Wale waislam fake wanaounga mkono ugaidi, wacha wauawe
Wale waislam swafi wanaofuata mafunzo sahihi ya Mungu, wasionewe
 
This justifies the killings of more than 60 innocent civilians done by al-shabbab militants. It is a reprisal and Kenya should swallow it!
 
Haikuhitaji uchunguzi kujua ukweli wa haya mambo, yako wazi kabisa, watu wanauliwa hovyo na hakuna uchunguzi wala nini,
 
Aljazeera ni moja ya vyombo habari vilivyosababisha damu za wengi mno kumwagika.Ni kituo chochezi cha habari kilichokuwa mdomo wa maruhuni wapinga serikali kwenye arab springs na magaidi kule afghanstan.

Kituo hiki kinatumiwa na magaidi.

Aljazeera ilichofanya ni kuhatarisha usalama wa wanausalama wa Kenya na kuchochea magaidi waongeze harakati zao dhidi ya kenya na wanausalama wa Kenya.Hata kama ni kweli kwa nini chombo cha habari kiweke wanausalama kwenye hatari hivyo?

Wallahi ingekuwa ni Tanzania imeandikwa hivyo na ALJAZEERA na Aljazeera wawe na kituo Tanzania NINGEJITOLEA MUHANGA NIKAENDA KUJILIPUA KWENYE STUDIO YAO ILI WAANDIKE DOCUMENTARY YAO IKAMILIKE VIZURI IKIWAHUSISHA NA WAO

Nadhani kama Aljazeera ina kituo chake Kenya basi ni wajibu wa serikali ya Kenya na wanausalama wa Kenya kufanya chochote kwenye kituo maruhuni kama hicho.
 
State to bring charges against those involved in Al Jazeera report

5_0.png


Al Jazeera report on extrajudicial killings in Kenya

Wednesday, December 10, 2014 - 00:00 -- BY LYDIA MATATA

The government has instructed relevant authorities to begin investigations with a view of bringing charges to those involved in a documentary by Al Jazeera which alleges that the state is involved in at least 500 extrajudicial killings each year.

A statement from the Ministry of Interior said that the "tone and subjective nature" of the documentary was deliberately skewed to support and empathise with terrorists and their sympathisers without taking into consideration the hundreds of Kenyans who have died in terror attacks.

"The timing of the documentary is also suspicious and appears meant to derail KE's efforts to fight terrorism. The documentary was deliberately planned and aired at a time when Kenya is seeking support to strengthen it's war against terror through legislative reforms." the Ministry said.

The Interior Ministry further said that none of the interviewees could be authenticated as bona fide security agents of this country. "The purported secret GOK documents were clearly fake" the Ministry added.


State to bring charges against those involved in Al Jazeera report | The Star
 
Govt to file complaint with Media Council over Al Jazeera documentary

5_2.png


The team investigating the killing of Mombasa based controversial preacher Aboud Rogo, led by assistant deputy public prosecutor Jacob Ondari, on September 4, 2012, at the scene where the Islamic leader was shot fifteen times. Photo /FILE

Tuesday, December 9, 2014 - 00:00 -- BY LYDIA MATATA

The government has demanded an apology from Al Jazeera over a report aired on the international TV station on Sunday alleging that the State carries out at least 500 extrajudicial killings every year.

On Tuesday, a statement released by Principal Secretary Joseph Tiampati said that the government has also filed a complaint with the Media Council of Kenya concerning the conduct of both local and international journalists following the documentary.

"While the makers of the programme claim to have sought the position of the police spokesman, they failed in their report to adequately satisfy the journalistic principles of fairness and accuracy, particularly on such critical matters as the country's national security," Tiampati said.

He said that the report further aims to undermine the government's efforts to deal with insecurity.

In its report, Al Jazeera allegedly interviewed officers Anti-Terrorism Police Unit who confirmed killing controversial Mombasa cleric Abubakar Shariff Ahmed, alias Makaburi, with the assistance of foreign intelligence agencies. One ATPU officer said the orders come from the National Security Council.

"It comprises of the President, Deputy President, Chief of the Defence Forces, Inspector General of Police, National Security Intelligence Service Director, Cabinet Secretary of Interior and the Principal Secretary Interior. Any decision is made within that club of people," the officer said.

"Day in, day out, you hear of eliminating suspects. We have the police itself. We have special units like GSU. So not a total, but you can say about almost 500," the officer added.


Govt to file complaint with Media Council over Al Jazeera documentary | The Star
 
Terrorist should be killed why they are planning and killing innocent people???
 
Haikuhitaji uchunguzi kujua ukweli wa haya mambo, yako wazi kabisa, watu wanauliwa hovyo na hakuna uchunguzi wala nini,

Du hatari, haifai ila someone has to do the dirty job maana hawa jamaa na wao ndio uhusika katika kuwa-recruit vijana kwenda Somalia.
Inaitwa black-op, kuna vitengo vya polisi katika kila nchi kazi yao huwa ni kumalizia bila mahangaiko ya kwenda kotini. Nakumbuka kisa fulani ambapo Wakenya 14 washukiwa wa ujambazi waliuawa na polisi wa Tanzania https://chamachamwananchi.wordpress.com/2007/09/12/14-kenyans-excuted-by-tanzania-police-in-moshi/
 
Waungwana kwa bahati mbaya nimekutana na deocumentary moja ya Ajazeera inayokwenda kwa jina la ''Inside Kenya's Death Squards'' Kwa yeyote aliepata fursa ya kuiangalia yote,, for sure ataelewa kwa nini hatupaswi kujiigiza kichwa kichwa kwenye mgogoro wa kenya na Somalia.. bado sijaamini na itakuwa ngumu kuaminini maana hata mashirika ya habari nayo siku hizi hayaaminiki sana. Ila kama taifa lazima tuchukue tahadhari, maana kwa mgawanyo huu wetu wa dini kuu hizi mbili uislam na ukristo almost nusu kwa nusu just imagine yatokee ya Kenya si itakuwa shida? mimi nadhani ni bora tuendeleze na vita yetu ya ESCROW inatutosha kwa sasa.

uopdate..... fungueni link hii https://www.youtube.com/watch?v=lUjOdjdH8Uk mimi nimeiona youtube na Aljazeera kwenye news zao
 
Waungwana kwa bahati mbaya nimekutana na deocumentary moja ya Ajazeera inayokwenda kwa jina la ''Inside Kenya's Death Squards'' Kwa yeyote aliepata fursa ya kuiangalia yote,, for sure ataelewa kwa nini hatupaswi kujiigiza kichwa kichwa kwenye mgogoro wa kenya na Somalia.. bado sijaamini na itakuwa ngumu kuaminini maana hata mashirika ya habari nayo siku hizi hayaaminiki sana. Ila kama taifa lazima tuchukue tahadhari, maana kwa mgawanyo huu wetu wa dini kuu hizi mbili uislam na ukristo almost nusu kwa nusu just imagine yatokee ya Kenya si itakuwa shida? mimi nadhani ni bora tuendeleze na vita yetu ya ESCROW inatutosha kwa sasa.
contents hasa ni nini maana sio wote walio ona....
 
Kila nchi duniani ina watu maalum kwa ajili ya assassination ya watu wanaohatarisha usalama wa nchi. Unaua 10 ili kulinda usalama wa watu milioni 45
 
Back
Top Bottom