De Javu
JF-Expert Member
- May 5, 2010
- 264
- 33
Al-Jazeera TV yenye makao makuu yake nchini Qatar, ipo mbioni kuanzisha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili si muda mrefu ujao. Habari zinaeleza kua Aljazeera inakamilisha taratibu za kuweka kituo chake cha kurushia matangazo kwa ajili ya Afrika mashariki mjini Nairobi Kenya.