AKUKWE DANGER AFARIKI KENYA: Alikuwa na wake 100 na watoto 600

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Sijuw kama huyu mzee kuna mtu atavunja rekodi yake! Yaan kaoa wanawake zaidi ya 100 na watoto zaidi ya 600...
Mpeni hongera jamani!
 
Du kwa kweli hii ni rekodi ya hatari.....
Ningekuwa na uwezo ningejaribu japo nifikie nusu ya rekodi yake........
 
mbona kafa miezi miwili iliyopita na kazikwa juzi....amekufa akiwa na miaka 98 kama sikosei
 
kafa na umri wa miaka mingapi?

Na kafa kwa ugonjwa gani?

Alikuwa na miaka 96 kama sjakosea.. Naona ni magonjwa ya uzeeni.
Sasa aliulizwa na mtangazaji wa BBC kama anawajua watoto wake? Mzee alijibu kwa hasra "yaan wew uwe na watoto kisha usiwajuwe? we mtangazaji unauliza nini?"
 
Du kwa kweli hii ni rekodi ya hatari.....
Ningekuwa na uwezo ningejaribu japo nifikie nusu ya rekodi yake........

hiyo huwez kaka! UKIJARIBU KUFKISHA ROBO ya huyo mzee,unaishiwa ile k2, sperms,ndan ya 50 age! So ukpata toto or jmama unaishia kuhesabu shanga,mimi simo!
 
Jamani hapa kuna misinformation, imetolewa kama kafariki leo au jana, alifariki dunia miezi miwili ilopita na amezikwa j1 ya wiki jana. alikuwa na wamama mia hivi! na alifariki kwa ugonjwa wa kisukari kadili ya maelezo. Alikuwa mjaluo na alijenga shule kwa ajili ya watoto na wajukuu wake!
 
AMEACHA WAJUKUU NA VITUKUU 1500. JACOB ZUMA NA KING MSWATI NI NGOMA YA KITOTO KABISA. HUYU NI DANGER KWELI KWA MAANA HALISI YA NENO DANGER.:A S crown-1:
 
Back
Top Bottom