Akuanzae mmalize!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Kuna mtu hapa lazima nimsomee HALBADRI!
Na sijui kama ataumaliza mwaka huu, maana kazidi mno kuni-PM akitaka kunitia katika dhambi, kama alikuwa hajui, basi mie ni mtoto wa Sheikh Sayed Mabrouk Bin Mahmood Barghashish Burhan Tombya na ajue salama yake ili kuepuka dhoruba ni kuniomba radhi hadharani hapa hapa JF na sio kwa PM.

Nimemaliza na sitaki maswali.
 
Erickb52, nakuona unachungulia hapo chini ili kutafuta umbea!
Hii haikuhusu maana utajifanya mtabiri
 
Last edited by a moderator:
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaonywa, "ukichungulia hapo utapofuka" lakini kwa kuwa sasa tumeshakuwa watu wazima, naonya tu kuwa "Udadisi ulimuua paka".
 
Hehehehee
Kesho show ya nani?
Erickb52 kesho show ni ya Erotica ajiandae tu kujibu maswali kwa nini hakutumia kifanyio mpaka akapata Mimba
Na ole wake aingie mitini kama wewe, atalipia gharama za kumfuata Arusha na kulipia kipindi, Chezea Zinduna weye
 
Last edited by a moderator:
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaonywa, "ukichungulia hapo utapofuka" lakini kwa kuwa sasa tumeshakuwa watu wazima, naonya tu kuwa "Udadisi ulimuua paka".

Umesema kweli MAMMAMIA bora ukae kimya!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kesho show ni ya Erotica ajiandae tu kujibu maswali kwa nini hakutumia kifanyio mpaka akapata Mimba
Na ole wake aingie mitini kama wewe, atalipia gharama za kumfuata Arusha na kulipia kipindi, Chezea Zinduna weye
Mbona mi hukunifuata?
Nafuate basi nikulipe garama
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom