Aksante CHEF Pride na Kikwete Kwa Bei Ya Kuanzia Saa Nne Usiku Nimeanza kupata Kitambi.

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Nameanza Kupata Kitambi nilichokuwa nakitafuta sana nionekane kama mheshimiwa Misosi Bab kubwa Kwa Offer hii ya Chef Pride Restaurant kuanzia saa nne Usiku kila siku kwani hii offer imekuwa ya muda mrefu kama offer za Tigo.. dah!saa nne tayari wacha niwahi nisije kuta chakula kimeisha.
 
Una akili sawa sawa?!
 
kula saa nne usiku ni afya hii....au mimi ndo wakuja
 
Yale ni mabaki ya mchana mkuu, sasa wasipoyauza nusu bei yatawachachia ukizingatia yana viungo vingi.....inasevu wazungu wa Jambo Inn kubana budget
 
Mkuu nakushauri pale Chef Pride hiyo sio ofa! Unadhani saa 4 usiku wateja watatoka wapi? Lazima wawauzie nyie makombo, achana nao mkuu
 
Chatu Dume makombo ni chakula kilicholiwa kikatiwa mkono kikabaki. Nadhani hao jamaa hawauzi makombo kama wengi msemavyo ila wanauza vyakula vinavyokuwa vimebakia (havijauzika) ili visilale.
 
Bora mmwambie ukweli huyu jamaa, kwenye jukwaa la siasa yeye analeta habari za vipolo vilivyobakizwa na wazungu, tena hadadisi kwa nini iwe saa nne usiku, muda huu wanaokula huwa mara nyingi ni wale ambao wapo bize sana tena hula majumbani mwao
 
kiwete anahusika vp kwenye wewe kula wali jaaaa la la?

mitoto iliyokulia madrasa utaijua tu,nchi inauzwa we unawaza ubwabwa wa chef pride!
nadhani wazazi na familia yako ndio wanawarudisha madarakani hawa wavua magamba kwa ofa ya pilau.
mmelogwa nyie:mimba:
 
Wewe umekulia wapi? au Wewe wa SENGEREMA??
Kama kulogwa basi wewe ndio uaminivyo jijue wewe ni mshirikina.. kwa imani yako

Kikwete anahusika kwa kuweka nchi swafi vitu kama hivi na sie tunajidai navyo

Offer ni offer tu wewe Mwenyewe Unakanyaga Ardhi ya Allah Free, karibu nawe uje uonje Pilau The Chef Afya inakuja kwa kula sio mineno yako ya Ovyo
 
Chatu Dume makombo ni chakula kilicholiwa kikatiwa mkono kikabaki. Nadhani hao jamaa hawauzi makombo kama wengi msemavyo ila wanauza vyakula vinavyokuwa vimebakia (havijauzika) ili visilale.
Mkuu, labda tafsiri yangu imekwenda vibaya, nilikuwa namaanisha chakula kilichobaki, mimi pia nakula pale mara kwa mara mchana walikuwa na sehemu yao ingine pale Lumumba pamevunjwa, tupo pamoja mkuu Sokomoko
 
Back
Top Bottom