Akina mama Kijo-Bisimba na wanaharakati wengine matatani

Massenberg

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
1,173
1,370
Kwa mujibu wa taarifa za habari jioni hii, mashitaka dhidi ya wanaharakati akina mama Kijo-Bisimba, Ananilea Nkya na wengineo yamefikishwa kwa Mwanasheria Mkuu.
Vielelezo ambavyo vimekamatwa ni pamoja na mabango yaliyotumika.
Hii ni dhahiri kuwa serikali ya Baba Mwanaasha inajaribu ku-divert attention toka suala halisi la kuwachukulia hatua watu ambao ndiyo chanzo cha mgomo na badala yake inaonea raia wenye nia njema.
 
Wanataka kuleta maafa kwani dr ulimboka si alisema wanaharakti wote waliokamatwa waachie pasipo masharti? Sasa mbona wanataka kuyavulumua tena?
 
wanajaribu kupingana na masharti ya madaktari?......hii nchi bana haipendi wananchi wake na wananchi hawajipendi vile vile. juzi tu hapa ccm imeibuka kidedea kwenye kura huko sijui wapi huko then uniambie hawa wananchi wanajipenda kweli
 
Tuungane na mashujaa wetu tupambane na serikali ya udhalimu.

Viva Ireinei Kiria, Ananiela Nkya, Hellen Kijo-Bisimba
 
ushauri kwa jeshi la polisi hao wanaharakati walikuwa wanatetea maslahi ya wananchi na madaktari kama wakiendelea wanatafuta mgomo mwingine ambao hautakuwa juu ya wizara bali juu ya jeshi la polisi
 
Kwa mujibu wa taarifa za habari jioni hii, mashitaka dhidi ya wanaharakati akina mama Kijo-Bisimba, Ananilea Nkya na wengineo yamefikishwa kwa Mwanasheria Mkuu.
Vielelezo ambavyo vimekamatwa ni pamoja na mabango yaliyotumika.
Hii ni dhahiri kuwa serikali ya Baba Mwanaasha inajaribu ku-divert attention toka suala halisi la kuwachukulia hatua watu ambao ndiyo chanzo cha mgomo na badala yake inaonea raia wenye nia njema.
hata ulimboka inabidi ajiangalie sana asije naye akaanza kupukutika ngozi...serikali yetu bomu kwa visasi ndiyo yenyewe.
 
Hili ndio kosa kubwa watakalo lifanya kuwafungulia mashtaka. Mtoto akililia wembe mpe, halafu wasubiri kuona hasira ya wananchi
 
Siku zote huwa najiuliza, hivi uana harakati ndiyo ajira gani? Naona kama ni umbea umbea tu wakudakia mambo na kuyashabikia bila kujua hatima yake.... acha waone cha moto kwa kuingilia mambo yasiyowahusu.
 
Hili ndio kosa kubwa watakalo lifanya kuwafungulia mashtaka. Mtoto akililia wembe mpe, halafu wasubiri kuona hasira ya wananchi

Hata wakienda jela hakuna mwananchi atakayeonyesha hasira labda wewe na wenzio wa hapo kinondoni, watu waache kula bata na familia zao eti waonyeshe hasira kuwatetea wanaharakati? who are they katika nchi hii bana, ni waganga njaa tu hao
 
Siku zote huwa najiuliza, hivi uana harakati ndiyo ajira gani? Naona kama ni umbea umbea tu wakudakia mambo na kuyashabikia bila kujua hatima yake.... acha waone cha moto kwa kuingilia mambo yasiyowahusu.

Kama walivyorogwa polisisiemu na serikali yao nawe umerogwa vivyo hivyo,na kwa taarifa yenu wenye akili ya kuku huku mkiwaza kutembeza ubabe kila mahali,tena huku mkidhulumu haki za watanzania,ole wenu siku ya mwisho yaja,na kwa hili mnalotaka kuliamsha angalieni litaamusha tena mgomo wa madaktari na hasira za wananchi zitakuwa juu yenu na polisisiemu.ole wenu nasema tena ole wenu.
 
Serikali ya jk kama ya wale madikteta wa Burma waliomkamata mwana haraka Ang San Suu Kyee kwa kupiga vita ukandamizaji..discrimination only generates hate, so FREE HUMAN RIGHTS ACTIVISTs PLEASE.
 
nadhani ni wakati wa madaktari kulianzisha tena, huyu Kova ni darasa la saba anafikiri kila kitu ni nguvu
 
Tuungane na mashujaa wetu tupambane na serikali ya udhalimu.

Viva Ireinei Kiria, Ananiela Nkya, Hellen Kijo-Bisimba

good but how?
not on a computer keyboard for heaven's sake!

nenda hatua moja zaidi - tangibility!
 
mashitaka yakifika mahakamani hayatoki bila kufuata sheria ni lazima kesi isomwe. baada ya hapo aliyeshitaki yaani serikali inaondoa mashitaka watuhumiwa ndipo wanaachima huru. mahakama haiachii watuhumiwa kwa kauli ya ulimboka
 
mahakama inasubiri serikali kama mlalamikaji kujiondoa kwenye kesi lakini lazima kesi ifutwe kwa taratibu za mahakama watuhumiwa wakiwa wamepanda kizimbani
 
tuwe na subira wataachiwa tu kama kuwaachia ni moja ya makubaliano baina ya serikali na madaktari
 
Kama tupo na uzalendo wa dhati kwanini tusilitee taifa pale tunapoona panakengeuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom