Akina Kingunge waenguliwa rasmi Ubungo. Ni baada ya kuiibia Serikali mapato

I guess ingefaa wanyanganywe tenda itangazwe tena, Watoto wa Viongozi wengine kazi zao kusubiri Kodi za mabus na parking za magari mjini kisha kuleta jeuri ..!
 
The funny thing is mama Kingunge kashanunua nyumba kama kumi masaki na hizo hela ili awe na uhakika wakutokulosti... too little too late..
 
Hapa kama nchi ingekuwa inafuata utawala wa sheria halafu mkataba uko tight jamaa wangepigiwa mahesabu ya siku zote walizochikichia hela, kutakiwa kuzilipa hizo hela halafu kupigwa mvua kubwa tu kwa sababu ya fraud.

Lakini kwa bongo sitashangaa nikiambiwa kwamba hakuna kesi kwa sababu hawakufanya chochote kilicho nje ya mkataba. Na actually wanaweza hata kui-sue serikali kwa breach of contract, ila wanaona noma issue inaweza ku create bad publicity na washajishibia anyway.

$ 1500 kwa siku kwa stendi kubwa kama ile, miaka yote hiyo? Daaamn, they must be swimming in millions of dollars now. Kama walikuwa wanatengeneza $ 1500 zaidi tu (it is very possible waliweza kutengeneza zaidi ya hii) kwa miaka minne watakuwa wamekusanya around $ 2,190,000 saaafi zao.
 
Tanzania sio nchi ya Ujamaa na kujitegemea tena, Hii ni nchi ya wachache wenye kujitegemea..! Kila aina ya deal chafu hufanywa na watu walio wachache kwa kujigawia wao wenyewe..!
 
Kwani si unaona hata ukifika mjini kakijana kamzee kanavyozunguka bila shughuli ya maana kwasababu fedha ya parking za magari yetu inawalisha.
 
Hapa kama nchi ingekuwa inafuata utawala wa sheria halafu mkataba uko tight jamaa wangepigiwa mahesabu ya siku zote walizochikichia hela, kutakiwa kuzilipa hizo hela halafu kupigwa mvua kubwa tu kwa sababu ya fraud.

Lakini kwa bongo sitashangaa nikiambiwa kwamba hakuna kesi kwa sababu hawakufanya chochote kilicho nje ya mkataba. Na actually wanaweza hata kui-sue serikali kwa breach of contract, ila wanaona noma issue inaweza ku create bad publicity na washajishibia anyway.

$ 1500 kwa siku kwa stendi kubwa kama ile, miaka yote hiyo? Daaamn, they must be swimming in millions of dollars now. Kama walikuwa wanatengeneza $ 1500 zaidi tu (it si very possible waliwezxa kutengeneza zaidi ya hii) kwa miaka minne watakuwa wamekusanya around $ 2,190,000 saaafi zao.
....and to add insult to injury they were not paying any income tax.
 
....and to add insult to injury they were not paying any income tax.

Kwa msingi gani? Hawawezi kushitakiwa kwa hili at least?

Don't these people have any shame? Ndio ukomunisti wa Kingunge huu?
 
Kwa msingi gani? Hawawezi kushitakiwa kwa hili at least?

Don't these people have any shame? Ndio ukomunisti wa Kingunge huu?

Hakuna kitu kama hicho Bongo!

Hawa jamaa tunawaongelea kwa sababu hili suala lao lilipuka kwa bahati mbaya. Ila naamini wapo wengi tu wanaokomba zaidi. Hapa ni suala la kuwa "mwizi ni yule aliyekamatwa". Ila kwa kuwa wenzake hawawezi kumwita mwizi basi watamsaidia.

Hili suala limeishia hapo ila usishangae wakapewa fidia au kitu kingine (kifuta machozi) ambacho watu hawatajua na kwa hiyo hakutakuwa na kelele tena!

Hii ni Bongo ndugu yangu, unalala masikini unaamka tajiri. Akili mu-kichwa!!
 
Tanzania sio nchi ya Ujamaa na kujitegemea tena, Hii ni nchi ya wachache wenye kujitegemea..! Kila aina ya deal chafu hufanywa na watu walio wachache kwa kujigawia wao wenyewe..!
Sikumbuki ni mwaka gani Tanzania ilikuwa ni nchi ya Kijamaa na Kijitegemea.
 
Back
Top Bottom