egbert44
JF-Expert Member
- Mar 17, 2006
- 381
- 57
Fataki akiwa ananyatia watoto wadogo anachomeka fimbo mgongoni then anaanza somo, mtoto aking'aka tu kwamba naenda kusema anatoa fimbo 'wewe una bahati ningekuchapa ile mbaya kama ungekubali kumbe wanakusingizia' sasa maneno akikubali fimbo haileweki ilipo potelea!