We taifodi wewe,pesa mbele kwanza babangu, ayo ya lipusi ni kibwagizo tu..tho lipusi,n romantic item.
I prefer shekeli..lipusi badae..
Hongera,ila kwa ii thredi,ucwe na hasira,..kuna w2 wanamidomo ova nin cjui teh
Hata mimi naona pesa ndo mwanzo mwisho, ila kumbuka wengine tunapendwa ila mfukoni hatuna kitu