Akina dada waliokeketwa.Kufika kileleni ni kazi mno!!!

Hata Take away mnataka ziwe zina wafurahia? Wewe demu umemkuta siku hiyo hiyo na kusema alikuwa afiki? Niletee huyo aliyekeketwa halafu uwe shahidi. Wewe huyo demu usikute umemchapia porini ...!Kweli hata msisimko wa mapenzi utatoka wapi?
 
Zipuwawa bwana unanifurahisha mno...porini??? yaani pale kilosa kuna gest moja the best, ndiko huko nilimpeleka. sikufanyia hili tendo muhimu vichakani kabisa na sijawahi kufanyia vichakani...ingekuwa vichakani tusingepata muda wa kuongea mambo yake ya kukeketwa...na nisingepata hata muda wa kumchunguza.
 
Unajua kuna uwezekano mkubwa labda alikuwa mke wa mtu hivyo hofu na mambo mengine ndio yaliyochangia nashukuru kama ulimpigia Gest ila usifikiri take Away hizo huwa zina furahia mapenzi
 
Zamia Uvinza na uchukue muda bila haraka huku mikono ikichezea zana za kifuani (chuchu) kwa utaalam. Nakwambia hata kama amekeketwa ataimba hicho kikurya chake kama siyo mayowe na kutoa maji kama ya kule Muleba.
 
hivi eeh, lakinihiki ndicho kitu tulichoanza nacho. next time ntamuchunguza zaidi hasa katika upande wa saikolojia...
 
Unajua kuna uwezekano mkubwa labda alikuwa mke wa mtu hivyo hofu na mambo mengine ndio yaliyochangia nashukuru kama ulimpigia Gest ila usifikiri take Away hizo huwa zina furahia mapenzi

huyu dada siyo mke wa mtu kabisa, ni mdada ambaye ndio kamaliza masomo yake ya elimu ya juu. infact hajapata mtu na ilikuwa ngumu hata mi mwenyewe kumpata...
 
Hata Take away mnataka ziwe zina wafurahia? Wewe demu umemkuta siku hiyo hiyo na kusema alikuwa afiki? Niletee huyo aliyekeketwa halafu uwe shahidi. Wewe huyo demu usikute umemchapia porini ...!Kweli hata msisimko wa mapenzi utatoka wapi?
hapo sasa
 
mkuu hii ndio sababu kubwa ya serikali kupiga vita hivi vitendo vya ukeketaji
 
Acha wewe, mwenyewe ndo hujui piga msaliboko, huwa wanakojoa vizuri tu. Pooling yako ndio ndogo.
 
Kwa kweli ishu ya kukeketwa ni noma mi mwenyewe nilikua na demu aliyekeketwa kwa kweli ni noma kwenye mechi hana hisia kabisa na hata umshikeshike vp hisia zake ni za mbali sana na ni mtu mwenye huzuni sana kwani hunieleza kuwa ananipenda sana ila hawezi kuniridhisha kwenye malovee kwani wakati wa tendo kuwa hajisikii raha sana
hivi ni mikoa gani hasa ambao hawana nila ya kukeketa wanawake? michache ninayojua ni kigoma na kagera...mingine ni ipi?
 
naomba nitofaitiane na wengi hapa jamvini... hawa waliokeketwa wanaenjoy kama wengine ila kama walivyo watu wote duniani, nao wanahitaji kutendewa kwa staha na heshima............. wakihisi unawanyanyapaa huwa wanajisikia kudhalilika.......

nilivyomsoma mtegowa noti, alianza kumpekua baada ya kumwona anachelewa kufika huko kileleni!!................ hapo ndipo alipokosea kwani msichana alihisi mwenzie anamnyanyapaa na akajihisi dhalili...... sasa hapo hata uki-apply phd ya hayo mambo hatafika kileleni kamwe, labda ajaribu kwa mpenzi mwingine na zile hisia za kumnyanyapaa zisimrudie tena akilini mwake..............

kuna tatizo kubwa sana la mitindo ya kisasa ya mapenzi amabyo mwanamke/msichana yoyote anayejiheshimu/anayeendelea kuthamini mila na utamaduni wa mwafrika hawezi kuwa radhi nayo.......... sasa mwanaume akimvamia tu na kuanza mara kuzama uvinza mara sijui katerero mara sijui nini tena......, anaweza ghafla kuhisi unampekuwa na hapo ataweka akili yake resistant kwa hisia zinazomkabili kwa wakati huo......... ndipo hapo sasa badala ya kushirikiana mtakuwa mkipingana kihisia na ufanisi wa tendo zima utapungua kama anavyolalamika mteg wa noti...........

ushauri wangu ni kuwa tuimarishe heshima ya mwanamke na umbo la kike kwa vitendo........ na tushirikiane kupiga vita ukeketaji kwa nguvu zote kwani ni sehemu kubwa sana ya tatizo, ............si kwa nia ya kuboresha ufanisi wa ngono pekee (manake mwanamke si mtambo wa kufanyia ngono), bali katika dhana nzima ya self and social esteem ya mwanamke.............. tuhakikishe kuwa watoto wetu na vizazi vyetu vyote vijavyo vinaepushwa na ukeketaji.................
 
thanks for such important contribution. nadhani wote wamefaidika kwa hii comment yako kwenye hii thread
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom