Akina dada siku hizi mmekuaje???

Am witchu brotha! but am talking about THAT one gal who's supposed to give u chillz whenever u see her...they are not there anymore. Kuna ambao watakupagawisha for a minute but ukiwatokea tu una conclude kuwa "hamna kitu hapa" thats why u keep going on and on searching for "that one"

Keep searching Broda... Utampata tu with all the accessories... na zaidi... Good luck!!
 
Nimekusoma vizuri tu. Ila a free world doesnt mean a right world...na ingekuwa a real free world why dont most of u galz approach us guyz??that means we are the chooserz and all u do is agree with us...

Hiyo kwa sababu ishazoeleka kuwa wanaume mnafuata wasichana ndo maana otherwise mambo yanabadilika bwana. kama nimekupenda Jumboplate i swear nakufuata nakuambia "nakuapproach" as you put it. besides, girls/women/ladies also choose big time tena. unamuona kakaa kimya tu lakini anakucompare na mwingine anajaribu to make a right choice. kwa hiyo JP (allow me to call you JP), na wewe huyo uliyenaye hakukubali tu alikuchanganua deeply among other choices she had and she chose you. Beleive me its her choice to be with you and not just agreeing with your body language as you said earlier.
 
Kuna jamaa ameniambia kuwa eti movies na songs za nje ndo zimewaharibu dada zetu....eti movie inaonyesha jamaa kakutana na demu club wakapendana then wakaishi happily thereafter!!Ktk movies na songs inabidi wafupishe story la sivyo movie itachukua siku nzima kuitazama. True love is never true at all!!!


Sjacheka leo! Hebu nicheke maana hii imenifurahisha sana.In less than two hours people meet, get to know each other, marry and live happily thereafter/everafter!
 
kwa kweli raha ya mwanaume ni kufukuzia binti kwa muda mrefu. Hali hii inampa mwanaume bashasha, na hamu zaidi. Siku akimpata mtoto anajisikia bingwa. Hii ya kufikia kumpata bila mbinde, inakuwa haina raha wala hamasa. Kufukuzia kwa muda mrefu ndo raha!
Ok nimekupata kwahyo itabidi tuanze kuwazingua ngoja niwaambie na marafiki zangu nao wawambie na marafiki zao hatimaye woote tutajua ili tuanze kuwazungusha mpate raha
 
JumboPlate, siku nyingine ukitaka kumtongoza mwanamke muarifu mapema kuwa akuzungushe zungushe halafu akubali ili uridhike..Simple as that!!
 
Ok nimekupata kwahyo itabidi tuanze kuwazingua ngoja niwaambie na marafiki zangu nao wawambie na marafiki zao hatimaye woote tutajua ili tuanze kuwazungusha mpate raha

Jamani Salha nilikuwa natania tu usiwaambie rafikizo....
 
Na nyie mmekuwaje kwani midomo yenu imekuwa rahisi sana kutongoza

dah nidai mbege shost manake dah umenena!!!!!!
nimecheka mpk basi
dah kweli wenyewe wanatembea na mistari ya matongozo kwenye boksa zao wakikutana na bnadamu wa eva tu wanamshushia verse..........hahahaha!!!!!!!11
 
usipende ku generalize wewe dhambi kwa mungu n its nt gud for human consumptionm.
km wewe unachanaganya decents gal na wale wengine wajasiriamali then ukatoa potofolio ilo la kina dada wapo easy skuiz utafel kaka
na km uliwapata au mkeo ulimpata afta kumtongoza at brkfast then at lunch ukampata ni uyo si wote
kuna wenye adabu zao na kuna waliokengeuka so usikusanye wooooooooooote kapu moja kaka utakuw aujatenda haki
na i dhambi si ya mwanamke tu na wat abt u mnaotongoza tu ata mbuzi akirembua nyi mnatongoza tu since ur addicted to matongozo mbona aujawasema?????? au ao wadada wanakuwa na mabango mgongoni like ....PLS NTONGOZE MIMI NWA WEWE UNAMTONGOZA????


uhuni auna kwa wanaume wooooooote au wanawake wooooooooooooooote its individual case ma broo.
tulia na ukitembele kwa ma decent utapata atakaye kuzungusha zaidi ya MIAKA LAKIN WE UMETOKA JOLLIE SJUI KONA BAA AFU UNAKUJA KUSEMA wadada wapo fasta fasta skuizi.

m sor in any hw if i made u blak bt thats the way it is
nawasilisha

karibu ugali dagaa km vp
 
Jamani tukumbuke zamani utongozaji uikuwa unafanywa MANNUALY,now days mambo yako kielectronics zaidi,so na muda wa process hizo lazima upungue!!
 
wanawake sasa ndio wanatimiza ule mnaouita ubeijing!

mkitongoza na wao wanatongoza.............kama inawachukua nyie dakika 5 kuamua kama unamtaka yeye na yeye anaamua kwa dakika tano vile vile.

yaani watu wamechoka stress, liwalo na liwe inaitwa.


mimi nataka hao wanawake na wanaume wote wa note kuwa maradhi ya zinaa yapo vile vile na wataalamu wameyapa probabilistic values.
 
Na nyie mmekuwaje kwani midomo yenu imekuwa rahisi sana kutongoza

Mama watu hawatongozani! WANATAKANA HAWA KWA MUDA TU. Unayetaka awe mama chanja wako lazima umlie timing kinoma. It might take even several months. Vipi twende basi=haya. lol.
Wakati huo ilikuwa kazi kweli kumshawishi mwenza achojoe, na hata akikubali lazima ufumbe macho usimwone na uzime taa. Wadada wa sasa hawana hata aibu, we twende kazi.
 
Back
Top Bottom