Akili . . . . . !!!!

KILA MTU ANA AKILI SEMA TU KATIKA KITU FULANI HATA WALE AMBAO WANAONEKANA NI VICHAA,WENDAWAZIMU NA MATAHAILA WOTE HAWA WANAZO AKILI INGAWA WENGI HUSEMA SI TIMAMU KWA MAANA TU LABDA HAWAJUMUIKI NA WAO KATIKA MAMBO FULANIx2 BUT STILL ILE HALI YA UKAMILIFU WA KIBINADAMU WANAYO.NDIO MAANA HATA UKICHUKUA MAFROFESA SABINI UKAWAWEKA SEHEMU MOJA WAO WENYEWE WATAJICHAMBUA KATKA MANTIKI HIZOx2 NA PENGINE KUMUONA PROF FULANI TAAHIRA KABISA AMA PROF FURANI INTERIGENT SANA.KIUKWELI HATA WALE AMBAO HAWAJAPATA BAHATI YA KIELIMU WAO KWA WAO WANAJITENGA KIMFUMO,KIMAZINGIRA NA KIHITKADI KUPITIA HII DHANA YA AKILI NYINGI AMA NDOGO.SWALI KWA MTOA MADA YEYE ANAFIKILI NI NINI KIPIMO CHA AKILI?
 
intelligence quotient,IQ kila mtu anazaliwa nayo; then tunajifunza kupitia hii hii na ndiyo maana kuna wengine wanaelewa haraka na wengine hadi warudie mara tatu tatu.

Na katika utendaji wa kazi mara nyingi akili inayotumika ni ile ya kuzaliwa (Nature) na ndiyo maana unaweza kuongea na PHD holder ukajiuza mbona upeo wake wa kuelewa ni mdogo kulinganisha na elimu yake sasa kwa nini?

Kiwango cha elimu ya mtu hakimaanishi ana IQ kubwa na watu lazima walielewe hili. na tunao viongozi wengi, walimu wengi wa vyuo anambao ni ma PHD holder laziki wakianza kuchambua jambo basi lazima uhoji uwezo wao wa kuelewa mambo (IQ)

Kwa sisi wazazi mtoto kwenye IQ kubwa au ni kilaza utamjua tu hata kabla hajaingia darasa la kwanza, akili zinarithiwa toka kwa ukoo either wa mama au baba. kusoma si kipimo cha kujua IQ ya mtu, IQ ya mtu inajulikana pale mtu anapokuwa na uwezo wa kutatua matatizo yake mwenyewe (solutions) kwa kiwango kikubwa haijalishi kafika level gani ya elimu.
 
Akili ni uwezo uliojificha(unseen and intangible) ambao binadamu huzaliwa nao au huupata kupitia kujifunza ili kuweza kupata suluhisho la matatizo au changamoto zinazomkabili.....Akili pia zimegawanyika,kuna inborn intelligence ambazo huwa vivid kabla hata mtu hajaanza kupata mafundisho,na nyingine ni induced ambazo kipitia mafundisho na experience mtu huweza ku'portray au kuonyesha uwezo wake kiakili.....
Mkuu akili ni broad sana,hata hivyo watu hu'judge akili kwa binadamu anayefanya maamuzi ambayo ni logical......
Naomba kiwakilisha.....
 
Kwa uelewa wangu akili ipo, ila haionekani(invisible) na (haishikiki)untoucherble. Akili inapimwa na inakuwa kadri mtu anavyo kuwa. "IQ" inteligence of quotent, ni kipimo cha ufahamu. Mtoto huwa anazaliwa na IQ 0 kama ilivyo kwa nyani. Kila siku anavyozidi kukua ndo akili yake inavyozidi kukua. Mtu mwenye IQ Kubwa ni 1700. Tafauti ya binadamu na nyani ni kuwa nyani IQ yake inaanzia 0 inaishia 500. Angefanikiwa kufikisha iq 700 angeweza kuongea angalao kama mtoto,angeweza kuita maji mma! Mtu mzima, wengi wanaufahamu wa IQ 1500-1600 wale wenye ufahamu mkubwa wana IQ 1750. Mtu ukifikisha miaka 70 na kuendelea kulingana na mabadiliko ya mwili, IQ yako inaanza kudumaa!

Umenichanganya kidogo mkuu
 
akili ni nywele, kama umenyoa upara kama mimi ujue akili imepungua kidunchu :tongue:
 
Niliwahi kuleta mada kama hii hapa,ikatupwa kule JF Doctor,ahsante kwa kuirudisha tutapata msaada.
 
Ndio maana usishangae kusikia Snoop doggy ni Genius based on matokeo yake ya I.Q test.
 
Akili ni nafsi isiyoonekana ambayo huboreshwa kwa vichocheo vingine kama kufikiri au kutafakari na kutenda ili kupata matokeo yanayoweza kuwa mazuri au mabaya. Akili huendana na kufikiri,udadisi,ufahamu,uelewa,umakini na utulivu. Mara nyingi mtu akifikiri vizuri na kutenda yaliyosahihi na matokeo yake kuwa mazuri,mtu huyo atasemwa ana akili.

Mtu asiye mgonjwa,ghafla akatenda kitu cha ajabu kama walivyofanya askari kumpiga na mmoja wao kumwua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi na kujutia kitendo chake hicho cha kinyama baadaye, mtu huyo atasemwa hana akili timamu. Akili ni uwezo wa kufikiri na kutenda kwa ufanisi.Lakini bado matokeo ya kufikiri na kutenda yanaweza kuwa chanya au hasi.

Acha kuchanganya mambo mkuu! Tangu lini akili ikawa nafsi?
 
Ndio maana
Kuna baadhi ya wanafunzi utakuta ni wakubwa kiumbo lakini IQ yao ni ndogo hivyo utafundisha mpaka kichwa kinauma
na wengine ni wagodo wana IQ kubwa na kwenye kuwa fundisha wala huangaiki
ukigusia tu kaelewa
 
^^
Akili ni jumla ya upuuzi wote unaouchota ktk jamii na mazingira unayokutana nayo tangu ubongo ukiwa hauna chochote mpaka unapofikwa na umauti
^^
 
Yani Nimesoma Uzi wote bado sijapata Point kuu ya Maana ya akili, Na inapatikana wapi hali kadhalika inapimwaje... Au na mimi Sina AKILI.??
 
Kweli nimeamini elimu sio darasani tu.

Mimi nimepitia coment hapa nimejiuliza maswali menigi

Sasa nan mwenye akili ikiwa ni hivyo basi?????

Na mbona nasikia kuna mwenye akili timamu na asie na akili timamu?????

Au tuseme akili ni akili hata ukiwa unafanya njinga na ushenzi au ukiwa unafanya vitu vinavyoeleweka kwa jamii ??
Mimi nashindwa kufasiri mambo vizur hapa wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom