Akili za mtoto hazichanganyi

Kativo

Member
Feb 10, 2011
55
15
Mtoto wa ndugu yangu ana miaka 12 yuko darasa la 4 amerudia darasa mara kadhaa ila mpaka sasa hawezi kuandika wala kuhesabu. Mfano hawezi kutofautisha pesa za sarafu. Ila sio taahira, ni nadhifu, ana kigumizi kiasi. Kwa madaktari ktk hospitali kubwa hawajagundua kitu. Je, hii yaweza ikawa nini na wafanyeje?
 
sidhani kama ni lingine zaidi ya Understanding capacity yake. Kiufupi naweza kusema ni slow leaner.
 
kwakweli awaone walimu wanaofundisha shule maalumu kwa wasiojiweza wanaweza sema kama yeye yupo kundi gani na baada ya hapo ndo muende kwa daktari....... so, hakuna haja ya kupanic, anza na walimu.
 
Back
Top Bottom