Akili ndogo inaongoza akili kubwa - Msigwa

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Nimejaribu kutafakari kauli hii ya mchungaji msigwa nikajiuliza maswali yafwatayo:

1.kibajaji na komba wanawezaje kuongea na kupigiwa makofi na maprofesional?

2.kwa nini sheria za bunge ni kwa ajili ya wapinzani tu?

3.kwa nininchi inaongozwa kwa kodi za walevi na wavuta sigara?

4.kwa nini mkuu wa nchi hajui sababu za umasikini wa nchi yake?

Nisaidieni jamani
 
Nimejaribu kutafakari kauli hii ya mchungaji msigwa nikajiuliza maswali yafwatayo:
1.kibajaji na komba wanawezaje kuongea na kupigiwa makofi na maprofesional?
2.kwa nini sheria za bunge ni kwa ajili ya wapinzani tu?
3.kwa nininchi inaongozwa kwa kodi za walevi na wavuta sigara?
4.kwa nini mkuu wa nchi hajui sababu za umasikini wa nchi yake?
,,,nisaidieni jamani

Nikusaidie swali la nne!! Hayo mengine watajibu wengine.


Sababu ni kua Rais ni DHAIFU.
 
[h=2]Akili ndogo inaongoza akili kubwa[/h]Hiki ni kijembe tosha kwa mkuu wa kaya.
 
Jamani presida wetu si dhaifu, miye nitathibitisha hili kama hatojitetea mwenyewe na kupinga na pia aonyesha ni nini alichofanya kinachomfanya asiwe dhaifu. Akikaa kimya basi nitajua kakubali. Nampa wiki mbili.
 
akili ndogo kuongoza akili kubwa,kama komba,lusinde, nchemba wanaongea utumbo ule na wabunge wasomi wa ccm wanawapigia makofi basi sina wasiwasi kweli rais wao ni dhaifude.uchumi hauendeshwi kutegemea bodaboda na huo ni upeo wa hao wanaccm ndani ya bunge.kilimo,uvuvi,kilimo reli vtote mmevifilisi sababu ya ubinafsi wenu
 
"Uwendawazimu ni kurudia jambo lilelile,kwa njia zile zile huku ukutegemea majibu tofauti" kweli wabunge wa magamba wendawazimu kwani wanarudia ujinga uleule!mwisho wao umefika sasa,hawatafurukuta bungeni wala nje ya bunge m4c imewafanya wamekua wendawazimu zaidi.
 
Chadema bwana wako wachache bungeni ila wanawatoa mbio watu zaidi ya 200,,,wanachosema wao ndo wanachojadili
 
"Jamani ulizeni maswali yasiyo ya kukomoana" by Spika. Hapa anamaanisha ulizeni maswali ambayo mawaziri wamejiandaa kuwadanganya watanzania......

Poor me!
 
"We can't solve problems by using the same kind of thinking we used when we created them." - Albert Einstein
 
Ujumbe wa msigwa ulikua mzito sana na unahitaji tafakuri ya hali ya juu ili uielewe misemo hiyo.
 
"....akili ndogo inataka kutawala akili kubwa..it is shameful, problem can not be solved by the same level of thinking that created by them... You guys , your tired. Mmetuweka kwenye mess ninyi wenyewe ni lazima akili ya juu zaidi ije kutatua... Ni principle... Insanity keeps doing the same things in the same ways and xpecting to get different results... Maendeleo duniani yamekuja kwa mawazo yanayopingana....."

IMELETWA KWENU KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.
 
Back
Top Bottom