Original Pastor JF-Expert Member Nov 14, 2007 1,274 50 Mar 2, 2010 #1 Rais Mugabe anataka akae madarakani mpaka kufa kwake source VOA. wandugu imekaaje na ukilinganisha na Sisiem na Mugabe = ............
Rais Mugabe anataka akae madarakani mpaka kufa kwake source VOA. wandugu imekaaje na ukilinganisha na Sisiem na Mugabe = ............
U Urenga One Member May 22, 2009 50 1 Mar 2, 2010 #2 Delete hii post MODS nimeziona zipo nyingi sasa tuchangie ipi??? au muulize pastor
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Mar 2, 2010 #3 Tuchangie miaka 86 (b.day) ya mugabe? au Urais wa Mugabe? au Sisiem na Mugabe?/ ONDOA IMEKAA KIUMBEA ZAIDI!!!!
Tuchangie miaka 86 (b.day) ya mugabe? au Urais wa Mugabe? au Sisiem na Mugabe?/ ONDOA IMEKAA KIUMBEA ZAIDI!!!!