Akhaaaa babu! Mwanaume gani kila akifikia mshindo lazima ajambe!

Mama yangu alinisimulia aiwahi safiri kwenda sehemu fulani kwa basi...abiria wa pande hizo wanapenda sana kula, mara mayai, mara parachichi, ikipita mihogo lete...anasema hali ya hewa kwenye basi ilikuwa mbaya sana.

Hivi kuna watu hawawezi kukaa bila kumung'unya.
 
ha ha ha ha ha ha, hicho kijambo sikipatii picha, ombea siku awe amekula dengu sijui inakuwaje
 
Mbona demu wangu anajamba hadi kwenye ****. Upepo unakuwa umeingia bana. Huwa anasema nimvute kidole cha mwisho akijamba
 
Mtakaonisema kivyenu! Hii maneno ilikuwa kati ya mashostito wawili walokuwa
wakiongea 'girly stories' zao na kama kawa sikio langu nikalitegeshea usawa
na uelekeo wa maongezi yao. Ni kama walipotezana siku nyingi na baada ya kukumbatiana
angalia maongezi yao!

Dada A: Mwamwamwaaaaa! Za siku mwaya!
Dada B: Safi, niambie bidada, ulipotelea wapi, siku zote hizo?
Bada A: maisha mwnezangu..........arusha, tanga, dsm kote huko ni kuhangaika tu ila nashukuru Mungu sasa nimetulia mwaya.
Dada B: Usiniambie shemeji.....(akataja jina la huyo mwanaume) mwenzangu.
Dada A: Tobaaaaaaaa! Mwenzangu, pale nilijishikiza tu, shosti nilimvumilia kweli ....(akataja jina huyo bf wake wa zamani).
Dada B: Usiniambie mlimwagana jamani ....(akataja jina la shostito waliokuwa wakiongea naye). Ila mwenzangu mi nisingeweza, alikuwa na limwili likubwa kweli.....then akaangua kicheko.............!
Dada A: Akhaaaaa mwenzangu! Si heri ya hata hilo umbo mtu kwa dhiki zangu ningeweza hata kumvumilia. Mwanaume gani kwanza limwili likubwaaa, linene halafu kila anapo-pease basi lazima ajambe. Yaani mnamaliza kupeana raha, mwenzangu unaanza kazi ya kujipepelea harufu ya ushuzi. Yalinishinda babu, mbona nilimwaga. Mwenzangu li mwili lile ningempeleka wapi yule. Ila mhhhhhhhh, amenisaidia kweli ningeumbuka mjini mwenzangu!

Ukweli hata mimi nilishindwa kuvumilia ikabidi nicheke tu na wote watatu tukajikuta tunacheka.

Haahaahaa:). I love JF! Asante sana kwa kunipatikia chakunichekesha kiasi hiki asubuhii hii
 
ah mishindo ina mbwembwe jamani!hebu kila mmja hapa atafakari mshindo wa mtu wake ndo utajua kuwa ile kitu ni noma!watu sura huwa zinakuwa kama wametiwa ndimu,sijui wanakamuliwa jipu ,wengine chafya .wengine ndo huko kujamba,wengine matusi mtindo mmmoja,wengine kucheka kwisha kazi!wengine ndo ahadi za kujengewa nyumba na kununuliwa gari zinapotolewa hapo,wengne kutukana wanaume wote duniani,wengine kuwaamrisha wapenzi wao watukane mama zao(imagine mama amekosa nini yailhahi)wengine ndo wakiona wenzao wanafika wanastopsha kwanza mchezo halafu wanapose swali enhe yule flani ni mwanmke wako?(ah ya nini hayo muda huo?)wengine ndo wanadai watoto hapo basi mradi balaa tupu!
 
eeh aisee, hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa,

imenikumbusha juzi kati tu nilikuwa nastorisha na shost wangu flan hvi...
Cjui hata hii ilianzia wapi ila akaniambia kuna mwenzao mmoja kwa ofice wanamuita mbuuuuuu....pwaaaaaaaaaaa,
yaan alisimulia kuwa jamaa yake lazima apumue kwanza ndio akojoe....lol, nilicheka hadi leo nakumbuka hilo neno mbuuuuu......pwaaaaaaaaaa, dah

Kwa nini wanawake wanapenda kutoa siri za ndani za wenzi wao? mbona sisi hatuna hizo?
 
Hahahahaha khaa! Sasa usiombe,wakati upo busy,very busy na koni, akaj*mb, weeeh.. Nimecheka kwa sauti! U'v made ma day kwakweli! Teh teh napata picha jamaa ndo oh swt,ntakununulia trekta la kulimia..ghafla ndo anaachia yuuuuu thuuu fuuu.. Toba!lazima ulipuke
 
Mtakaonisema kivyenu! Hii maneno ilikuwa kati ya mashostito wawili walokuwa
wakiongea 'girly stories' zao na kama kawa sikio langu nikalitegeshea usawa
na uelekeo wa maongezi yao. Ni kama walipotezana siku nyingi na baada ya kukumbatiana
angalia maongezi yao!

Dada A: Mwamwamwaaaaa! Za siku mwaya!
Dada B: Safi, niambie bidada, ulipotelea wapi, siku zote hizo?
Bada A: maisha mwnezangu..........arusha, tanga, dsm kote huko ni kuhangaika tu ila nashukuru Mungu sasa nimetulia mwaya.
Dada B: Usiniambie shemeji.....(akataja jina la huyo mwanaume) mwenzangu.
Dada A: Tobaaaaaaaa! Mwenzangu, pale nilijishikiza tu, shosti nilimvumilia kweli ....(akataja jina huyo bf wake wa zamani).
Dada B: Usiniambie mlimwagana jamani ....(akataja jina la shostito waliokuwa wakiongea naye). Ila mwenzangu mi nisingeweza, alikuwa na limwili likubwa kweli.....then akaangua kicheko.............!
Dada A: Akhaaaaa mwenzangu! Si heri ya hata hilo umbo mtu kwa dhiki zangu ningeweza hata kumvumilia. Mwanaume gani kwanza limwili likubwaaa, linene halafu kila anapo-pease basi lazima ajambe. Yaani mnamaliza kupeana raha, mwenzangu unaanza kazi ya kujipepelea harufu ya ushuzi. Yalinishinda babu, mbona nilimwaga. Mwenzangu li mwili lile ningempeleka wapi yule. Ila mhhhhhhhh, amenisaidia kweli ningeumbuka mjini mwenzangu!

Ukweli hata mimi nilishindwa kuvumilia ikabidi nicheke tu na wote watatu tukajikuta tunacheka.

kwani kupumua 'kwa nyuma ni dhambi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom