Ajutia Kuupoteza Ubikira wake

pole zake tunamkaribisha katika chama cha wasio na bikra tanzania
yalaaaaaa...., kumbe na wew smile tayari! basi mie nikionaga avata yako nadhani kigori!!(joke) Huyu mwanaume alitaka tu kutengeneza historia ya kuzindua bikra, pumbaf sana....
 
Hata kama angeolewa na mlokole, ndoa aisngekuwa saa nne asubuhi maana keshamuonja. Huyo ni tapeli la mapenzi, wanaume wa aina hii ni wengi anaweza hata akaamua mamake ili amege kiheshima.
 
Back
Top Bottom