Ajutia Kuupoteza Ubikira wake

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Katika hali ambayo ni ya kusikitika na pia ni laana kwa aliyemtendea, Dada mmoja hapa Buguruni ametaka kujinyonga baada ya kidume mmjoja kuweza kumhadaa kwa muda mrefu huku akijifanya ni mlokole mahiri.Dada huyu mwenye miaka isiyopungua 24 aliamua kumsikiliza jamaa na jamaa kumtambulisha kwa watu ambao alisema ni ndugu zake na wazee wa ukoo.Utambulisho huo ulimridhisha mdada kwani aliamini fika jamaa atamuoa kwani hata mchungaji wa kanisa fulani maarufu mtaa huu alipata kutambulishwa.Kutokana na tamaduni msichana anayeolewa na bikira ndoa yake hufungwa siku ya Alhamisi muda wa saa nne asubuhi.Ushawishi na hali ya ukaribu kama anavyosimulia dada huyu ilimfanya atoe tendo lakini chakushangaza kesho yake kidume hakuonekana na inasemekana kaelekea Mwanza na hakuna mawasiliano tena.
Tukio hili limemuumiza dada huyu hadi kufikia hatua yakutaka kujiiringa/kujimyonga.

Ni tabia chafu kwa wanaume wa tabia hizi.
Its so painful and shame upon them/male
 
Cooked!
 
Hivi wewe hujaona kama mwenye makosa mwanamke hapo!!

Wanaume wengine mko vipi lakini mbona mawazo yenu yamepitwa na wakati.

Yani wewe akilini kwako, kuna mwanaume anaweza kumtoa mwanamke bikra, kama mwanamke hataki!!

Labda huyo mwanaume awe ame mrape kwa nguvu, kitu amabcho hakiingii akilini...vipi amkumbali mwanaume ambaye kamrape kwa nguvu in 1st palce...Kama kweli ame mrape kwa nguvu.
 
Kwani bikira ikitoka kuna nini mbaya? Tena kaliwa mara moja tu?? Huyo bado bikira, wasi wasi wake tu. Binti usiogope, bado uko shwari kabisa! Please nipeni contact zake kabla wachafuzi hawajaja. Mtu kaguswa only once!!
 
Kwa hiyo na we unataka ukamguse mara ya pili alafu wa tatu atakuwa nani? Au inakuwaje atii?
 
Huyo jamaa kwanza alikosea mana wanawake wa siku hzi washezi sana angemgonga na tigooo,ili kiburi kimuishe.
 
pole zake tunamkaribisha katika chama cha wasio na bikra tanzania

Bora ungemwambia akaribu kwenye wanawake wanaokwenda na wakati! Bikira si kitu cha maana hasa katika huu utaratibu wa kupokezana wapenzi.
 
aendelee kula utamu wa hilo tendo mi naona bikra haina umuhimu zaidi ya ile raha anayoipata kwa ku do hlo tendo.
 
endeleeni kutunza bikira ili human specie i-extinct.

Ubikira ni sunk cost, haina maana.
 
Back
Top Bottom