Ajitesa Ili Kuwatetea Papa Kasheshe huyu Mwanamke kweli anayo akili?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
1214.jpg

Mwanamke mmoja wa nchini Uingereza ili kupinga mauaji ya Papa duniani ameamua kuonyesha machungu yake kwa kujitundika mwenyewe kwenye ndoano kubwa ya kuwatundika papa.

1213.jpg

<tbody>
</tbody>

1212.jpg

<tbody>
</tbody>
 
Kukosa shida huko......
Waswahili wenzagu huku jinsi tunavyotingwa na maisha humkumbuki hata ndugu yako anaishije, itakuwa!!......
 
Wazungu hawana kitu cha kufanya kila kitu wamesha maliza sasa kazi iliyobaki ni kujaribu kujiuwa kwa njia ya taratibu mwenyewe.

Watu wamedata mkuu.
Kitu cha kawaida kwa hawa watu weupe si kitu cha kutisha Raha za maisha zikizidi unajisahau kila kitu hata kufa hufikirii wanaofikiria kufa ni watu masikini.
 
kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom