Ajitangaza kuwa shoga;aombwa uwamuzi wake uheshimiwe!!!loh

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Wednesday, October 19, 2011 2:19 AM
Mtangazaji wa taarifa ya habari wa televisheni ya ABC ya Marekani amwashangaza watu kwa kujitangaza LIVE kuwa yeye ni shoga wakati wa taarifa ya habari.
Dan Kloeffler mtangazaji wa televisheni ya ABC ya Marekani aliwashangaza watu wengi waliokuwa wakifuatilia taarifa ya habari baada ya kujitangaza live kuwa yeye ni shoga.

Dan alichukua uamuzi huo wakati akimuelezea mcheza sinema wa filamu ya Star Trek, Zachary Quinto ambaye alijitangaza hivi karibuni kuwa yeye ni shoga.

Zachary alisema kuwa ameamua kuweka wazi kuwa yeye ni shoga ili kuunga mkono harakati za kupinga kunyanyaswa kwa mashoga pale wanapojitangaza wazi kuwa ni mashoga.

Hivi karibuni Jamey Rodemeyer kijana mwenye umri wa miaka 14 wa New York alijiua mwenyewe baada ya wanafunzi wenzake kumtania na kumkebehi sana baada ya mwanafunzi huyo kujitangaza kuwa ni shoga.

Katika taarifa ya habari ya ABC, Dan alijitangaza kuwa yeye ni shoga akisema kuwa ameamua kujitangaza sasa kuwa yeye ni shoga lakini familia yake na marafiki zake wanajua kuwa yeye ni shoga kwa muda mrefu.

Dan alisema kuwa ameamua kujitangaza ili kuwahamisha mashoga wanaoogopa kujitangaza kwa kuhofia baadhi ya watu katika jamii kuwakebehi na kuwanyanyasa kutokana na tabia yao hiyo ya kwenda kinyume na maumbile.
 
Masikini hata 65 aajafikisha kaamua kumwaga radhi
 

Attachments

  • SHOGA.jpg
    SHOGA.jpg
    8.7 KB · Views: 56
watangazaji wengi ni mashoga hata hapa tz, huwa huoni wanavyojirembaremba, kujisugua sana sura na kuweka poda, kutengeneza mdomo kwa kuminyaminya wakati wanapoongea kama wadada vile...nachukia ushoga kuliko kito chochote, na kama ninayo bunduki kwenye uchochoro, nikamkuta mtu shoga naweza kumlipua na risasi akafie mbali huko.
 
Ninaomba anitafute anitunuku mie maana naona kaamua sasa tumsaidie tu.
 
Du!! tumuombe mungu yaishie huko huko maaana tunavyopenda kuiga hukosi kusikia na hapa watu wanaanza kutangaza huo upuuzi
 
hawa mashoga badala ya kuwazomea tungekuwa tunawahurumia na kuwaombea kwa mungu waondokewe na shetani mbaya alowapata...wiki zilizopita nimeenda dukani usiku usiku hivi sasa akaja jamaa mtu mzima hasaa akawa anamuuliza muuza duka amwelekeze kitu fulani ila kaficha uso wake kwa kofia...wakati amesogea karibu kukawa na harufu kali ya kinyesi sasa kimbembe wakati anatembea unajua namna mtoto mdogo alojisaidia haja kubwa kwenye chupi anavyotembea ndivyo alivyokuwa anatembea,kufika mbele anatuchungulia kwa chini ya kofia kama tunamuangalia akakuta mie ndo nimekaza jicho nafanya ukaguzi ni huruma kwa kweli...tangu usiku ule nimepata kitu kipya kuhusu hawa jamaa badala ya kuwazomea na kuwasemea maneno mbofumbofu inabidi tuwatie kwenye sala zetu na mungu atafanya wepesi kwa kweli.
 
Back
Top Bottom