Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Kwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.

OVER
Ngoja tuvute subira week moja sio mbali
 
Wakuu hembu tuacheni ubishii kwa hii kitu

mnanikumbusha wale jamaa waliokuwa wanabishana kuhusu mavi, mmoja anasema sio mavi mwingine anasema ni mavi akatokea mpita njia wakamuiliza kile nini ,yule jamaa akawambia ni mavi, yule jamaa akabisha mpaka akamwambia arambe jamaa kweli akaramba ndo akaamini...!
 
Inawezekana wakuu
1481316450730.jpg
 
GPA 3.8 kama kigezo kwa habari znazotapakaa!

Pia WALIOSITISHIWA AJIRA zao June kufutwa ajira hizo na wahusika wanatakiwa kuomba upya ajira kulingana na sifa zao!
 
Back
Top Bottom