Ajira za watumishi wapya.

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Hivi wale wahitimu wa vyuo vya afya na internship wameshapata ajira? Nimetafuta tangazo kwenye website ya wizara nimekosa. Mwenye update anisaidie. (natumia phone ukiweka pdf ntashindwa kusoma)
 
Sisi wenyewe tunazisubiri ila tetesi zinasemekana barua zimeshatumwa nimethibitisha kwa watu wawili cheki box ulilotumia mzee maana tangazo la kazi lilitoka mwezi wa 10/2011/28 fungua www.moh.tz halafu cheki information in swahili & English
 
jipe moyo, kaza moyo, hii ndo bongo, hutoki bila magumashi...
 
Back
Top Bottom