ajira za walimu zatoka tena

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
jamani naomba kuwaeleza wale woote waliokosa ajira (especially) shahada, waangalie majina yao kwenye website ya moe.go.tz

source MOE.GO.TZ
 
nimeona mkuu lakini jina langu haliko tena, nashindwa kuelewa wanachuo waliohitimu Makumira sijui vipi, ni chuo, au wizara au nini?
kufaulu nimefaulu tena kwa GPA nzuri sijui nini?
 
nimeona mkuu lakini jina langu haliko tena, nashindwa kuelewa wanachuo waliohitimu Makumira sijui vipi, ni chuo, au wizara au nini?
kufaulu nimefaulu tena kwa GPA nzuri sijui nini?

GPA nzuri makumila?
Mwenye gpa ya 1.9 udsm ni bright kuliko mwenye 4.+ makumila ,sauti,tumaini nk
source www. university. ranking.inc
 
sio kweli kwamba mwenye gpa ndogo udsm anadhaminiwa kuliko wengi bala ni ujinga na upumbafu waliona viongozi wa nchi especially kikwete i.e.KIWETE kutokuwa last say
 
GPA nzuri makumila?
Mwenye gpa ya 1.9 udsm ni bright kuliko mwenye 4.+ makumila ,sauti,tumaini nk
source www. university. ranking.inc
Nahindwa kuamini kama wewe uliandika hayo maneno ni mhitimu wa chuo kikuu. Yaani umeamua kumdhalilisha mwenzako kwa kulinganisha vyuo? Hayo mabishano ya chuo kipi bora ni mambo ya kitoto hasa kwa waliokwishahitimu. Mwenzako anajadili ajira wewe unaoongelea GPA za vyuo!?
May be this prayer might help you "PLEASE GOD, HELP ME TO SHUT MY BIG MOUTH BEFORE I UNDERSTAND WHAT I'M TALKING ABOUT"
 
Back
Top Bottom