Ajira za walimu wiki ijayo

duh hapo sasa natishika mkuu.Heb nisaidie mbinu gan itumike ili wasichakachue? Then ntajua ni kiasi gan m2 anapaswa kulipwa kama fedha ya mizigo na wategemezi? Kwel unjuka kazi nisaidien wakuu

1st katika ma'forms yao watakayowapa mjaze mkiripoti tu vituoni... Make sure place of domicile/residence unaandika mbali na kituo mfn. Ukipangwa mtwara unajaza makazi yako ulotoka ni kigona,mwanza (maeneo ya mbali) jitahidi kujaza anwani za hiyo sehemu,..nb.. Esa zatolewa nyingi kufuata umbali mwaka jana ikikuwa tani 5 kwa kila kilometa moja na kila tani ni elfu1.. Ila naskia mwaka huu imepunguzwa hadi tani3...MTAFUTE WARAKA WA WAAJIRIWA WAPYA
2nd. Kuna issue ya wategemezi wako... Kama hauna mke au mtoto... Tengeneza muhtasari wa kikao cha familia au ukoo unaoonesha umekabidhiwa majukumu ya malezi ya watu fulani wasizidi miaka 18 wawe wanasoma,, au wazee (hawa nao wanalipiwa kama wewe au nusu yako) uwe na vyeti vyao vyakuzaliwa
3.. UKIPANGWA CHAKA SANA JITIE UNA HISTORIA YA UGONJWA UNAOKUTAKA UWE KARIBU NA HOSPITAL mfn pumu,moyo,kifua /chakachua cheti kea doc' lazma usogezwe town..
Mengine mkipangiwa tuta 'PM''ana
 
hawa watu nadhani watatupeleka maeneo ya mbali ngoja nijandae kwenda mtwara naliendele

Mkuu wakinipeleka huko sio mbaya kwani watakua wamesogeza kwa wakwe zangu watarajiwa sa long as nakufahamu huko kwa sasa
 
duh hapo sasa natishika mkuu.Heb nisaidie mbinu gan itumike ili wasichakachue? Then ntajua ni kiasi gan m2 anapaswa kulipwa kama fedha ya mizigo na wategemezi? Kwel unjuka kazi nisaidien wakuu

Wanaochakachua hela za walimu aw ajira mpya ni wakurugenzi wa manispaa na maafisa elimu Kama hakutakuwa na mabadilko hela ya kujikimu substence ni 60000 kwa siku wenye bachelor na 40000 wa diploma kwa watakaopangiwa mijini na ni kwa siku 14, wa vijijini ni 40000 bachelor na 20000 diploma hela ya nauli ni 100,000/=. Hela ya mizigo kwa waraka wa 2009 ni elfu moja kwa kusafirisha tani moja kwa kilomita moja na kwa walimu unaruhusiwa kuhama na tani 5, so ni elfu tano kwa kilomita ingawa wanazingua na kudai waraka imebadilishwa.
ILI KUWA NA UHAKIKA NI VIZURI MTAFUTE ILE KARATASI TOKA HAZINA INAYOONYESHA KILA HALMASHAURI NA KIASI ILICHOPEWA AFU MNAGAWANYA KWA IDADI YENU...... NB. MKIZUBAA TU HAMLIPWI NA NI VIZURI MDAI MAPEMA MKIWA WENGIWENGI UKIWA INDIVIDUAL WATAKUZINGUA SAANA, KUMBUKA WATEGEMEZI MKE AU MME WANALIPWA HELA YA KUJIKIMU NA NAULI KAMA YA MUAJIRIWA NI MUHIMU KUWA NA SUPPORTING EVIDENCE, WALIMU WALIOJARIWA JAN 2011 pamoja na kukaa kitaa muda mrefu walionyesha mfano walidai haki zao kwa pamoja bila woga na ktk HALMASHAURI Nyingi walilipwa
 
haaa haaa haaa, karibu KIGOMA vijijini tusongeshe,maana huku wateja wetu wanawasubiri kwa sana,
Juzi mwl 1 yamemkuta, amepiga "muayo" mdomo umebaki wazi hadi muda huu wandugu, bado tunaangaika nae hapa, sijui ugonjwa gani. Haya ndo mazingira ya kigoma.
 
Kama walimu watapewa fedha za kujikimu mapema bila mikingamo,basi hlo litakua jambo la AJABU MNO,TUSUBIRI
Siku hizi wanalipa fedha ya kujikimu just ukiwasili ofisi ya wilaya/manispaa uliyopangiwa unapewa chako then unapelekwa kuonyeshwa shule utakayofundisha kama iko mbali na makao makuu. na mwisho wa mwezi unaukuta mshahara wako
 
Back
Top Bottom