Ajira za walimu 2011-2013

Kama January ikipita bila ajira za walimu, Kikwete pamoja na wazir wake wa elimu hawanabudi kujihuzuru kwa kudanganyifu

Naona umeacha wahazabe wenzio porini umekuja JF kutoa dukuduku lako!....jitahidi kuja mara kwa mara, ipo siku tuu utajua kuandika na kuongea vizuri kama sisi!
 
Tafta kazi nyingine ya kufanya,kwani kusomea ualim ndo lazima uwe mwalim?achana na hizo ajira za kimasikini mkuu.samahan lakini.....jiajiri mwenyewe

ajira za kimasikini? Unamaana gani..ajira gani ni za kitajiri?usiwe na fikira potofu za kukatisha tamaa wenzako mshahara haukup utajir bali malengo,matumiz na kujituma wewe kaa acha wenzako wakafanye kweli
 
Huyu rais ni mwongo wakutupwa akiwa ziarani Tabora alisema ajira za mateacher ni mwezi January 2013 now ni February 2013 lakini kimya Au kunamwezi january wa kisiasa? Ndo ubaya wa kuchagua rais kwa kigezo cha Uhandsome.
 
Huyu rais ni mwongo wakutupwa akiwa ziarani Tabora alisema ajira za mateacher ni mwezi January now ni February lakini kimya Au kunamwezi january wa kisiasa? Ndo ubaya wa kuchagua rais kwa kigezo cha Uhandsome.

Mwaka wa serikali unaanza mwezi wa saba.
Hata waislam huu kwao sio 2013.
 
Labda jwnuary 2014 maana ahawakawii kugeuza maneno mara upembuzi yakinifu mara mchakato mara mtambuka
 
Timu ya mawaziri ni dhaifu kuliko maelezo! Jk akiambiwa ni dhaifu mna kuja na mapovu midomoni. Watakupa sababu za kijinga sana, eti hazina! Kweli ccm ni upuuzi!
 
Enyi viongozi wa ccm someni alama za nyakati.mnapoahidi mambo msiyoyaweza unategemea nn?mnajiangusha wenyewe kwa uongo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom