Ajira za walimu 2011-2013

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
wadau inasemekana kuwa ajira za walimu kuanzia daraja la tatu na stashahada zimesitishwa kwa kuanzia mwaka 2011-2013 ni habari kweli?? au ndo mana hadi sasa hakuna hata dalili za walimu walio hitimu 2011 kupata ajira?? inadaiwa kwamba serikali haida pesa na hasa wizara ya elimu ivo inamana kuwa walimu walio maliza mwaka huu hadi watakao maliza mwaka 2013 hawata pata ajira ya serikali ya tanzania je madai haya ni ya kweli????
 
Ungeweka chanzo mkuu ungeeleweka zaidi,mie ni mhanga wa hilo kwa sasa lakn haiwezi fika hyo 2013 na kwa namna nijuavyo mimi walishindwa kutuajiri mwezi Nov wakidhani kua shule zitakua zimefungwa kwa hyo mshahara wa mwezi Dec wangeupokea bure as long as shule zitakua zimefungwa mkuu
 
Hizi habari mnapozitoa ni wapi? Ufafanuzi ushatolewa na waziri na ajira zitatoka january. Hii nchi kwa uzushi!
 
Mh! Kama na kwenye Elinu hakuna hela yakuwalipa walimu Tz hatunayo tena, kwani taifa la wajinga sio Taifa litakaloendelda gata siku moja
 
Siyo habari za kweli, kwani Ajira hizo zipo na zimebaki ck chache zitawekwa hewani.
 
waziri kasema kuanzia dec 2011 watu wataanza kupangiwa vituo vyao ila mpaka sasa bado sijui kwanini?ila ajira zipo mkubwa
 
wadau inasemekana kuwa ajira za walimu kuanzia daraja la tatu na stashahada zimesitishwa kwa kuanzia mwaka 2011-2013 ni habari kweli?? au ndo mana hadi sasa hakuna hata dalili za walimu walio hitimu 2011 kupata ajira?? inadaiwa kwamba serikali haida pesa na hasa wizara ya elimu ivo inamana kuwa walimu walio maliza mwaka huu hadi watakao maliza mwaka 2013 hawata pata ajira ya serikali ya tanzania je madai haya ni ya kweli????

Ajira zipo mkuu maana hata waziri alihojiwa akajibu zipo ila kupangiwa vi2o ni mpaka january shule zitakapofunguliwa. Achana na rumass za kitaa.
 
asanten wadau mie nlikuwa nauliza si unajua mambo ya kitaa
 
Ajira mpaka mwakan mwez wa saba souce baba yangu mkubwa anafanyia wizaran SO ajira mwakan mwaka wa fedha mwez wa saba:eyebrows:
 
Ajira mpaka mwakan mwez wa saba souce baba yangu mkubwa anafanyia wizaran SO ajira mwakan mwaka wa fedha mwez wa saba:eyebrows:

Itabid tuanze na nyie watoto wa mafsadi, ivo ndo mnachojadl na kupe mnapokua mnapunga upepo? Hyo k2 hakuna, ajira anytime ztatoka! Km n hvo bac waache kufungua hzo mushroom xcul!
B patient wenzangu, ajira zpo vngnevo hapatatosha 2015.
 
Kama January ikipita bila ajira za walimu, Kikwete pamoja na wazir wake wa elimu hawanabudi kujihuzuru kwa kudanganyifu
 
Tafta kazi nyingine ya kufanya,kwani kusomea ualim ndo lazima uwe mwalim?achana na hizo ajira za kimasikini mkuu.samahan lakini.....jiajiri mwenyewe
 
Back
Top Bottom