Ajira za wageni Coral Paint(kiwanda cha rangi)

dagaa

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
290
379
Habari zenu, mimi naweka kilio changu kwa wizara ya kazi, waje wakague katika kiwanda cha coral, kipo chang'ombe barabara ya mbozi road, tatizo wahindi wamekuwa wengi na wana roho mbaya, kila kitengo ni wahind tena kibaya wanawaleta direct from india na wanalipwa kwa dola na wanapangishiwa nyumb na magar juu na watoto kupewa elimu bure.

Lakin mtanzania anapewa vijicent, yani cheo kinachoitwa meneja au supervisor apewe mswahili ni ndoto, ni mwindi, kuanzia hr, store, sales navyeo vingine kibao, halafu hawaj
 
What .........................................................................................finish up au boss kakufumania kwahiyo umepost bila kumaliza? alafu nanyie manaendekeza hao wahindi, wafanyieni kitu mbaya.
 
Mhindi bado ndiye anayeendesha uchumi wa nchi hii kwa hiyo msitarajie kutakuwa na mabadiliko katika suala Zima la ajira kwa wageni. Juzi tu naangalia TV mkutano wa TIC waliohudhuria wenye rangi nyeusi ni wa kutafuta kwa tochi wengi wao wanaoitwa wamiliki wa viwanda ni wahindi na waarabu. Kelele za majukwaani hazina tija hao uhamiaji mpaka leo hawajasema ni wageni wangapi ambao wanafanya kazi ambazo zingeweza kufanywa na Wantanzania wameondolewa nchini Zaidi ya kujiongezea ulaji tu kwa kupiga dili. Shame!

Hebu miye nijiuzie zangu Tende na Halua maisha yanedelele
 
sio kiwanda icho tuu viwanda vipo vingi hapo chang'ombe na sehemu zinginezo waindi ndio wanapewa vyeo mtanzania anaishia kuwa kibarua na dereva tuu wanaajiriwa wachache mno hivyo ndivyo ilivyo pia kuna kiwanda hapo hapo chang'ombe mainjinia ni wakenya na waganda wanawalipa vizuri sana kana kwamba tz hakuna ma Eng.
 
Back
Top Bottom