Ajira za kilimo

Nyamajiva

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
210
23
Ndugu na jamaa kwa yeyote anaejua ni lini ajira za kilimo zitatoka maana toka mwaka jana hawajatoa na mpaka sasa kupo kimya eitha watatoa au ndo imetoka cjajua.
naomba kuwasilisha
 
Ndugu na jamaa kwa yeyote anaejua ni lini ajira za kilimo zitatoka maana toka mwaka jana hawajatoa na mpaka sasa kupo kimya eitha watatoa au ndo imetoka cjajua.
naomba kuwasilisha

Ajira za kilimo!!!! Kama sijaelewa
 
tume ya ajira wanasisitiza watu wasome kilimo kumbe hawana uwezo wa kuajir
 
Kwani ajira ya kilimo ni ya kungoja kuajiriwa mkuu? Si unajiajiri tu mkuu. Au mi sielewi haya mambo hapa Yerusalemu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama unazungumzia ajira za maafisa ugani waliomaliza astashahada na cheti kwa waliosoma vyuo vya kilimo., vilivyo chini ya wizara ya kilimo ni balaaa.,....haya mambo yapo kisiasa....hamna taarifa rasmi kwamba waliomaliza wataajiriwa lini ila kuna tetesi tu kwamba wataajiriwa alfu moja katika mwaka huu wa fedha.
 
Mmmmh;juzi nilisikia wakisema mjiajiri maana wamewasomesha bure bado mwataka kazi tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom