Hivi imekuwaje mpaka watanzania walio wengi wameugua ugonjwa wa uchaguzi? Imekuwa kila kukicha mijadala mikubwa ni ya uchaguzi-chaguzi tu? Mara vyama: Magamba hapa, Chadema pale, CUF nao ... Halafu watu: EL Monduli, Rosti, Al Sumari, nk. Mijadala ya maana kuhusu maendeleo ya nchi hakuna!
Serikali, vyama vya siasa na watu binafsi wanatumia mabilioni ya fedha kujaribu kuweka 'mtu' wao kwenye post wakati walimu, madaktari, na walala hoi wengine wanazidi kuwa hohe hahe!
Where is the logic? Tumefika kwa waliozoea kula vijisenti na vijipesa vya uchaguzi wanatamani afe mbunge kila wiki ili uchaguzi mdogo uitishwe! Makes me sick to the core